Wasegeju na washirombo ni marafiki wanafiki

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
374,288
Reaction score
866,737
Je wajua kwamba urafiki wa kinafiki ni moja kati ya mambo yanayouma na kuacha majeraha makubwa moyoni?.
Ni pale mtu anayejifanya yuko na wewe mbele ya macho yako, lakini nyuma yako anakuwa wa kwanza kukuharibia, kukusengenya, au kufurahia anguko lako?.

Wanajifanya ni "ndugu" lakini kiuhalisia ni maadui waliovaa ngozi ya kondoo.. Halafu wako wengi sana humu🤣
 
chocochips.jpeg
 
Je wajua kwamba urafiki wa kinafiki ni moja kati ya mambo yanayouma na kuacha majeraha makubwa moyoni?.
Ni pale mtu anayejifanya yuko na wewe mbele ya macho yako, lakini nyuma yako anakuwa wa kwanza kukuharibia, kukusengenya, au kufurahia anguko lako?.

Wanajifanya ni "ndugu" lakini kiuhalisia ni maadui waliovaa ngozi ya kondoo.. Halafu wako wengi sana humu🤣View attachment 3672004
Kwa utafiti upi? Hivi nikisema nawe ni mnafiki utachukia au kushuku?
 
Je wajua kwamba urafiki wa kinafiki ni moja kati ya mambo yanayouma na kuacha majeraha makubwa moyoni?.
Ni pale mtu anayejifanya yuko na wewe mbele ya macho yako, lakini nyuma yako anakuwa wa kwanza kukuharibia, kukusengenya, au kufurahia anguko lako?.

Wanajifanya ni "ndugu" lakini kiuhalisia ni maadui waliovaa ngozi ya kondoo.. Halafu wako wengi sana humu🤣View attachment 3672004
ila jamaa archive yako ina mapicha ya ajabu ajabu dah😅😅🤣
 
Back
Top Bottom