Simba..hapa
Mi naitwa Jayaka Mshori kiTweke
Una lako sii bure
Hapa ni hoja zinahitajika sio majina
Mawazo yako tunatambua wewe ni mtu wa aina gan ....
Ugonile kalumbu.Mi naitwa madam Tupokigwe Tuntufye Andendekisye Mwasakafyuka.
Ugonile kalumbu.
Jamani humu wengi tunatumia majina feki je jina lako kamili ni nani?
Mimi langu ni GRACE ANDERSON.