Jamani humu wengi tunatumia majina feki je jina lako kamili ni nani?
Mimi langu ni GRACE ANDERSON.
naitwa NYANCHUBWICHUBWI MAFUMUKE.....natokea mkoa wa mara....majita....baba yangu ni mganga wa jadi...mtaalam yaani...asantee
Naitwa Poly,
mi ni mtazania
nizaliwa moshi kcmc mjijin kabisa. Nipo hapa kutafuta mke, Kuhusu kazi,na maduka mangapi?, naendesha gari gani navinginevyo nicheck pm. Ila nilikua na swali, ivi grace umeolewa.?
Jamani humu wengi tunatumia majina feki je jina lako kamili ni nani?
Mimi langu ni GRACE ANDERSON.
Hakuna mtanzania anaitwa Anderson pole sana
Please anybody who believes from the heart that there are profits/benefits for us THE PEOPLE in this East African Federation thing, please use this place to convince me, I badly need to take this in, as it is here, with us, I need to, I have to know it, (not the political side only).
THANK YOU FOR YOUR TUITION!!!