Jina lako kamili ni nani?

Jina lako kamili ni nani?

ebu nenda zako ukato....e huko umeambiwa kuna mtu anashida na jina lako????????? unatafuta mabwana humu inamaana hao ulionao hawakutoshi????? wee ....a kweli wewee.!!
 
Naitwa karenzo nvuyekuru chumbabhunini, nimekokea mkoa wa kigoma, kabila muha, miaka 30
 
Naitwa Benjamin Steven Boyile, ukichukua herufi 2 za mwanzo kwenye kila jina ndo nickname yangu.
 
aise kama haya ndo majina ya magreat thinkerz tupo juu aise naona majina meng ni ya asili yetu by mimi ndumbo ngulu mbonde
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom