Jina Dkt–Muhimbili aliyetaka kuhonga timu ya Makanikia

wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
Kwa hiyo wewe ulitakaje? ??? Hata kama yote yalifanyika magufuli akiwepo ndiyo amepata nafasi na power sasa ya kurekebisha...We kinachokuuma ni nini? ?
 
Mnahangaiaka na Dokta wakati walio liingizia Taifa hasara ni Viongozi Wakuu wa Nchi hii?..

Endeleeni kuwaongezea kinga nyingine ili wasishitakiwe ,Waheshimiwa hawa..

Pumbav sana nyie ,mnatupa hasara hivi hivi...

MNAPATA HASARA "wewe haupo umejitoa? ? Ninyi ndiyo wakimbizi wenyewe na mapandikizi kwenye nchi hii
 
Hebu tujaribu kuwa wazalendo kwa nchi yetu. Sasa kama miongoni mwa hao CCM amejitokeza kuokoa utajiri wa nchi yetu, bado mnataka tuwaachie walafi watumalize kabisa? Rais ana nia njema na nchi hii, na hii inaonesha kuwa haya mambo yalikuwa yanamkera na hakuwa na namna nyingine kwa sababu alikuwa ni sehemu ya serikali.

Mh. Rais amepata nafasi ya kulishughulikia hili jambo basi sisi tumuunge mkono!
Ngoja ni kueleze ndugu yangu. ...hawa chadema ni wanafiki, wenye wivu, choyo na kutafuta kutumia matatizo ya watanzania kwa manufaa yao. Si kweli kwamba wanatupenda hata kidogo wanataka kutuona tunaangamia. Ndani ya chadema sijamwona mtu mwenye msuli kama alionao magufuli hata kama wangekuwa wenyewe madarakani. Kwanza wanasafari ndefu sana kuweza kuwaongoza wananchi. Hawajajipanga wakina lisu wananunuliwa kupotosha watu.
Hawajishangai MNYIKA yuko nao lakini hawafurahii hata kidogo
 
tatizo la Mwenyekiti Mao ktoweka mambo mengine wazi japokuwa anasema yeye ni msema ukweli mara kuna watu wanamuomba awape vyeo lakini awataji,nakuna mtu mwingine alisema kwamba alitaka kuongwa B.3000 lakini hawasemi waliotaka kufanya hivyo. hapo napo pana utata angekuwa anatuwekea wazi kama alivyowataja kina Karamagi angeturaisishia mambo tusije kufanya makosa 2020 kuwachagua watu wa namna hiyo
 
Wakati ripoti imesomwa wamesema huyo daktari ni mpare,usitake kuchafua majina ya watu, Je huyo unayemtaja ni mpare Kama sio usiendelee kuchafua watu
 
[HASHTAG]#RipotiYaKwanza[/HASHTAG]

Lissu: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia.

CCM: Lissu analinda wezi. Mikataba na sheria za madini hazina shida. Shida ipo kwenye udongo wenye makinikia. Tumeibiwa sana kwenye udongo. Hatukubali.

[HASHTAG]#RipotiYaPili[/HASHTAG]

JPM: Tumelogwa na nani? Watanzania tumeibiwa sana. Naagiza mikataba yote na sheria zote za madini zipitiwe upya.

CCM: Rais wetu mzalendo. Amefanya kazi kubwa sana. Tumuombee.!!

[HASHTAG]#MyTake[/HASHTAG]:
Lugha ileile aliyoongea Lissu akaambiwa amehongwa, ndiyo aliyoongea JPM leo akaitwa mzalendo. Akili za CCM kama kifurushi cha jaza ujazwe [emoji23][emoji23].!!!! C & P
 
Kuna huyu Deo Mwanyika,Makamu wa Rais wa Acacia ambaye ni mdogo wake na Johson Mwanyika ambaye ni AG mstaafu
Hao watu wawili hawana undugu mbona? Mmoja ni upareni wakati mwingine (Acasia) ni hukooo Njombe!
 
Mwanyika uwe msamiati mpya kama ilivyo
  • Changudoa
  • Kihiyo
  • Bashite
  • nk
Kwa hiyo unataka kusema kuwa Magu "amemwanyika" Dr Kalemani pale wizara ya Nishati kama vile Mzee Mwinyi alivyowamwanyika wanawe Dr Husein na Abdallah?
 
Hayo ni mapendekezo, inaweza kuwa vinginevyo ikibidi
 
Hii Nchi sio ya Magufuli pekee sio ya CCM sio ya Chadema sio ya Chama chochote na wala sio ya Mtu yeyote yule ,ni ya Watanzania wote.CCM ndio imeshika Madaraka kwa miaka zaidi ya 50 sasa ,hauwezi kuukwepesha huu wizi wa Mali za Wananchi na Chama cha Mapinduzi..

Nnawaona wa ajabu sana kwa kutaka kumjua Mtu mdoooogo asie jaa hata kwenye kibaba..
Kwa hiyo unapinga alichokifanya Magufuli?
 
Hebu tujaribu kuwa wazalendo kwa nchi yetu. Sasa kama miongoni mwa hao CCM amejitokeza kuokoa utajiri wa nchi yetu, bado mnataka tuwaachie walafi watumalize kabisa? Rais ana nia njema na nchi hii, na hii inaonesha kuwa haya mambo yalikuwa yanamkera na hakuwa na namna nyingine kwa sababu alikuwa ni sehemu ya serikali.

Mh. Rais amepata nafasi ya kulishughulikia hili jambo basi sisi tumuunge mkono!
"Ada ya mja-------" na kuomba RADHI ndo darja ya juu kabisa ya MUUNGWANA, kama kweli Mkuu ametambua makosa yaliyotendwa na watangulizi wake,basi asione aibu kuwaomba RADHI wale woteeee! ambao walitukanwa,kuzomewa na kufanyiwa dhihaka na makada wa chama chake pindi walipokuwa wanatahadharishwa kuhusu ubovu wa mikataba hiyo.
 
wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
Ishu kama hii ni yakumtusi mh. Magufuli kweli?
Angekuwa mccm masalia, angeweza kuwaumbua hao makada mibaka uchumi?
Wengine hapa hatuna chama wala ushabiki wa kichama, lakini juhudi zinazofanywa na mh Magufuli zina sura ya kitaifa na tunaziunga mkono.
Ninapenda mtindo unaotumika sasa wakutaja majina ghafi ya watuhumiwa binafsi na si vyama vya siasa.
Hata ingekuwa cdma ama act, etc etc, mojawapo vinatawala, hao mibaka uchumi wagekuwa ni wanachama makada wazuriwa vyama hivyo na vyeo juu wangekuwanavyo.
Kwani watu hao wanachoangalia ni maslahi binafsi tu na wala si sera ama rangi za mapambo ya bendera za vyama.
Tuwekeni mizaha ama ushabiki wa vyama vya siasa ama ukanda na ukabila pembeni.
Hotuba ya rais tuifanye kama menifasto ya kufuata ktk mapambano ya vita hii ngumu iliyopo mbele yetu.
 
GTs,

Hivi huyu Dkt aliyetaka kuwahonga ile timu ya ukaguzi anaitwa nani?
Je, hawezi kuwa moja ya watoto wa wanasheria waliopita?
Mimi nafanya dodoso hapa,

Kuna jina moja la Mwanyika, huyu Johnson Paulo Mathias Mwanyika alishawahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, pia kuna jina hilo hilo Mwanyika anacheo fulani huko migodini.

Ila kuna mkaka mmoja anaitwa pia Dkt Moris Mwanyika nadhani atakuwa anafanya kazi Muhimbili.

Je, ndiye anaweza kuwa alitaka kuokoa jahazi la baba yake mzee Johnson Paulo Mathias Mwanyika.

Jibu hilo litakuwa ndiyo kama kuna mtu ana info hapa aongezee nyama kama ifuatavyo.

Je, Dkt Mwanyika, Mwanasheria mkuu wa zamani mzee Johnson Paulo Mathias Mwanyika ni baba na mtoto?

Naomba kuwasilisha wadau
Hivi Mwanyika ni Mpare ?
Mh katoa hint kuwa kabila lake mpare ndiyo sababu alitaka kimfuata prof kwa kuwa naye ni mpare !
 
GTs,

Hivi huyu Dkt aliyetaka kuwahonga ile timu ya ukaguzi anaitwa nani?
Je, hawezi kuwa moja ya watoto wa wanasheria waliopita?
Mimi nafanya dodoso hapa,

Kuna jina moja la Mwanyika, huyu Johnson Paulo Mathias Mwanyika alishawahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, pia kuna jina hilo hilo Mwanyika anacheo fulani huko migodini.

Ila kuna mkaka mmoja anaitwa pia Dkt Moris Mwanyika nadhani atakuwa anafanya kazi Muhimbili.

Je, ndiye anaweza kuwa alitaka kuokoa jahazi la baba yake mzee Johnson Paulo Mathias Mwanyika.

Jibu hilo litakuwa ndiyo kama kuna mtu ana info hapa aongezee nyama kama ifuatavyo.

Je, Dkt Mwanyika, Mwanasheria mkuu wa zamani mzee Johnson Paulo Mathias Mwanyika ni baba na mtoto?

Naomba kuwasilisha wadau
Magufuli kasema Huyo dk wa muhimbili ni Mpare, mwanyika wote ni wabena.

Viroba hivi jamani ..deo mwanyika na huyo mwanasheria wa zamani ni watu wawili tofauti..huyo dr wa muhimbili anaitwa Ruta anakaa kuleee mbweni
 
Back
Top Bottom