Wakati mwingine mtoa rushwa anaghairi mwenyewe kwa machale tu. Lkn dhamira yake inakuwa inajulikana.Kwanini wasingesubiri ahonge kama ni kweli
Wakati mwingine mtoa rushwa anaghairi mwenyewe kwa machale tu. Lkn dhamira yake inakuwa inajulikana.Kwanini wasingesubiri ahonge kama ni kweli
Hivi tumekuwa na roho ngumu za kinafiki kwa nini? nimemsikia kada mmoja wa ccm akihojiwa Redio Tanzania au TBC akidai wale wote waliotajwa na tume ya pili waondoke haraka kwani wataendelea kupaka chama matope.
Hivi kwa nini hatupendi kusema ukweli na matokeo yake tunaendeleza unafiki? hao wote wanaotajwa hapo walikuwa ni viongozi na makada wa ccm amabo walikuwa wanasimamia kile kilichokuwa kinatekelezwa na serikali ya ccm na kupitishwa kwa miswaada ya dharula iliyoletwa na serikali ya ccm.
Sheria zote za uchimbaji madini na hata ile iliyopitishwa kwa hati ya dharula zilipitishwa kwa sauti za ndio na wabunge wa ccm tena wakiwakejeli na kuwapiga vijembe wabunge wa upinzani. Leo ingewezekana Rais kuwaomba radhi wananchi kwa niaba ya chama chake ambacho kimewaibia watanzania miaka yote maana hakuna chama kingine ambacho kimewahi kutawala nchi hii.
Hilo swala la kupitia upya sheria mbalimbali za madini ndicho Lissu na Mnyika wameyarudia mara zote wakadhihakiwa na wabunge wa ccm, hivi hizo sheria zinazoenda kufanyiwa marekebisho wabunge wa ccm watasema nini wakati walizipitisha kwa mbwembwe na kuwadharau wapinzani waliona hazipo vizuri?
Waliotengeneza hayo matatizo siamini kama kweli wataweza kuyarekebisha naona tutasubiri sanaHebu tujaribu kuwa wazalendo kwa nchi yetu. Sasa kama miongoni mwa hao CCM amejitokeza kuokoa utajiri wa nchi yetu, bado mnataka tuwaachie walafi watumalize kabisa? Rais ana nia njema na nchi hii, na hii inaonesha kuwa haya mambo yalikuwa yanamkera na hakuwa na namna nyingine kwa sababu alikuwa ni sehemu ya serikali.
We unaaminigi hizi story?? Ulimsikia alichosemaHuyu si msaliti wa nchi kwa nn wasimuanike tu tumjue, ya nn kumficha
Waongooooo!Huyu si msaliti wa nchi kwa nn wasimuanike tu tumjue, ya nn kumficha
Mkuu umenena vyemaHebu tujaribu kuwa wazalendo kwa nchi yetu. Sasa kama miongoni mwa hao CCM amejitokeza kuokoa utajiri wa nchi yetu, bado mnataka tuwaachie walafi watumalize kabisa? Rais ana nia njema na nchi hii, na hii inaonesha kuwa haya mambo yalikuwa yanamkera na hakuwa na namna nyingine kwa sababu alikuwa ni sehemu ya serikali.
Mh. Rais amepata nafasi ya kulishughulikia hili jambo basi sisi tumuunge mkono!
CHADEMA sasa hivi hawana agenda.Safi Vijana wa chadema mnaonesha uzalendo kwa hili!
Waondoke waende Chadema..?Hivi tumekuwa na roho ngumu za kinafiki kwa nini? nimemsikia kada mmoja wa ccm akihojiwa Redio Tanzania au TBC akidai wale wote waliotajwa na tume ya pili waondoke haraka kwani wataendelea kupaka chama matope.
Hivi kwa nini hatupendi kusema ukweli na matokeo yake tunaendeleza unafiki? hao wote wanaotajwa hapo walikuwa ni viongozi na makada wa ccm amabo walikuwa wanasimamia kile kilichokuwa kinatekelezwa na serikali ya ccm na kupitishwa kwa miswaada ya dharula iliyoletwa na serikali ya ccm.
Sheria zote za uchimbaji madini na hata ile iliyopitishwa kwa hati ya dharula zilipitishwa kwa sauti za ndio na wabunge wa ccm tena wakiwakejeli na kuwapiga vijembe wabunge wa upinzani. Leo ingewezekana Rais kuwaomba radhi wananchi kwa niaba ya chama chake ambacho kimewaibia watanzania miaka yote maana hakuna chama kingine ambacho kimewahi kutawala nchi hii.
Hilo swala la kupitia upya sheria mbalimbali za madini ndicho Lissu na Mnyika wameyarudia mara zote wakadhihakiwa na wabunge wa ccm, hivi hizo sheria zinazoenda kufanyiwa marekebisho wabunge wa ccm watasema nini wakati walizipitisha kwa mbwembwe na kuwadharau wapinzani waliona hazipo vizuri?
Hizo ndo akili za kinyumbu.wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
Kwan Magufuli alikuwa AGSamahani sana jamani mimi labda sina uelewa ... hivi wakati wa kutunga sheria hizi za madini Magu alikua wapi wakati huo?
Mbona wewe inakuuma sana kuona Magufuli anafanikiwa katika kazi yake?
Wewe ni mmojawapo wa wanaonufaika, nini?
Ni tanzania apo?Haya mashimo sijui atayafukia nani?wasije wakapewa stamico wayafukie.View attachment 522862
hakuna cha ccm hapa jamii ndio corrupt. hata kama cdm ingeingia ikulu ndio mambo yangekua mabaya zaidi. hili ni wazi kwani kundi lililokua linashutumiwa kwa ufisadi ndani ya ccm baada ya kudhibitiwa lisiweze kugombea nafasi ya urais lilihamia lote upinzani. kundi hilo likaweza kuwarubini viongozi wa upinzani na kiongozi wao kuteuliwa kua mgombea urais wa upinzani.wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
GTs,
Hivi huyu Dkt aliyetaka kuwahonga ile timu ya ukaguzi anaitwa nani?
Je, hawezi kuwa moja ya watoto wa wanasheria waliopita?
Mimi nafanya dodoso hapa,
Kuna jina moja la Mwanyika, huyu Johnson Paulo Mathias Mwanyika alishawahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, pia kuna jina hilo hilo Mwanyika anacheo fulani huko migodini.
Ila kuna mkaka mmoja anaitwa pia Dkt Moris Mwanyika nadhani atakuwa anafanya kazi Muhimbili.
Je, ndiye anaweza kuwa alitaka kuokoa jahazi la baba yake mzee Johnson Paulo Mathias Mwanyika.
Jibu hilo litakuwa ndiyo kama kuna mtu ana info hapa aongezee nyama kama ifuatavyo.
Je, Dkt Mwanyika, Mwanasheria mkuu wa zamani mzee Johnson Paulo Mathias Mwanyika ni baba na mtoto?
Naomba kuwasilisha wadau
We jamaa ni nouma sana!wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
You bet!Swali, je Dkt Moris Mwanyika ni mtoto wa Johnson Paulo Mathias Mwanyika?
Ina maana hata huyo Deo Mwanyika alipata hicho cheo kama rushwa, it was not competency. Na inaonekana Johnson Paulo Mathias Mwanyika alipiga sana hela.
Safi sana, leo tumefika pazuri, after 20yrs!Mnahangaiaka na Dokta wakati walio liingizia Taifa hasara ni Viongozi Wakuu wa Nchi hii?..
Endeleeni kuwaongezea kinga nyingine ili wasishitakiwe ,Waheshimiwa hawa..
Pumbav sana nyie ,mnatupa hasara hivi hivi...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji2] [emoji2] [emoji2] ,Usimwamini Magu hata siku mmoja, huwa anajiongelea tu anavyotaka.