Kama ni mpare basi the match ni 95%GTs,
Hivi huyu Dkt aliyetaka kuwahonga ile timu ya ukaguzi anaitwa nani?
Je, hawezi kuwa moja ya watoto wa wanasheria waliopita?
Mimi nafanya dodoso hapa,
Kuna jina moja la Mwanyika, huyu Johnson Paulo Mathias Mwanyika alishawahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, pia kuna jina hilo hilo Mwanyika anacheo fulani huko migodini.
Ila kuna mkaka mmoja anaitwa pia Dkt Moris Mwanyika nadhani atakuwa anafanya kazi Muhimbili.
Je, ndiye anaweza kuwa alitaka kuokoa jahazi la baba yake mzee Johnson Paulo Mathias Mwanyika.
Jibu hilo litakuwa ndiyo kama kuna mtu ana info hapa aongezee nyama kama ifuatavyo.
Je, Dkt Mwanyika, Mwanasheria mkuu wa zamani mzee Johnson Paulo Mathias Mwanyika ni baba na mtoto?
Naomba kuwasilisha wadau
Tuliosoma Tabora Boys' A-level 1999-2001, PCB Tunamjua vizuri Mourice Mwanyika (Dr).GTs,
Hivi huyu Dkt aliyetaka kuwahonga ile timu ya ukaguzi anaitwa nani?
Je, hawezi kuwa moja ya watoto wa wanasheria waliopita?
Mimi nafanya dodoso hapa,
Kuna jina moja la Mwanyika, huyu Johnson Paulo Mathias Mwanyika alishawahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, pia kuna jina hilo hilo Mwanyika anacheo fulani huko migodini.
Ila kuna mkaka mmoja anaitwa pia Dkt Moris Mwanyika nadhani atakuwa anafanya kazi Muhimbili.
Je, ndiye anaweza kuwa alitaka kuokoa jahazi la baba yake mzee Johnson Paulo Mathias Mwanyika.
Jibu hilo litakuwa ndiyo kama kuna mtu ana info hapa aongezee nyama kama ifuatavyo.
Je, Dkt Mwanyika, Mwanasheria mkuu wa zamani mzee Johnson Paulo Mathias Mwanyika ni baba na mtoto?
Naomba kuwasilisha wadau
Tuliambiwa Yule alietaka kumuona Prof. Mruma nia Mpare mwenzie Prof, je hawa kina mwanyika ni Wapare??Swali, je Dkt Moris Mwanyika ni mtoto wa Johnson Paulo Mathias Mwanyika?
Ina maana hata huyo Deo Mwanyika alipata hicho cheo kama rushwa, it was not competency. Na inaonekana Johnson Paulo Mathias Mwanyika alipiga sana hela.
Kwenye hotuba ya Rais alisema ni mpare mwenzake Dr Mruma.Tatizo siyo kuwa mpare, ila je huyo mkaka Dkt Moris Mwanyika ni mtoto wa Johnson Paulo Mathias Mwanyika? Na je anafanya kazi Muhimbili?
Swali, je Dkt Moris Mwanyika ni mtoto wa Johnson Paulo Mathias Mwanyika?
Ina maana hata huyo Deo Mwanyika alipata hicho cheo kama rushwa, it was not competency. Na inaonekana Johnson Paulo Mathias Mwanyika alipiga sana hela.
Kwenye hotuba ya Rais alisema ni mpare mwenzake Dr Mruma.
mnamuonea mwanyika kwa kuwa ndio mtanzania pekee kwenye management ya ACACIA,huku yeye ndio mwenye cheo kidogo zaidi katika managementKuna huyu Deo Mwanyika,Makamu wa Rais wa Acacia ambaye ni mdogo wake na Johson Mwanyika ambaye ni AG mstaafu
Kwa nini hawakumkata na walikuwa na ulinzi kama siyo uongo?Sina haja ya kumjua huyo Dk.... Ila kwanini hawa wanaotaka kuhonga hawakamatwi???
Kwani yeye amewahi kuwa mwanasheria??Samahani sana jamani mimi labda sina uelewa ... hivi wakati wa kutunga sheria hizi za madini Magu alikua wapi wakati huo?
PUMBAVU KUFA LWAKO HUNA AKILI WEWEwanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
Sio mtoto wake huyu mzee mwanyika nawajua watoto wake labda kama ndugu yakeSwali, je Dkt Moris Mwanyika ni mtoto wa Johnson Paulo Mathias Mwanyika?
Ina maana hata huyo Deo Mwanyika alipata hicho cheo kama rushwa, it was not competency. Na inaonekana Johnson Paulo Mathias Mwanyika alipiga sana hela.