Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,882
ndo huyo kafumuNa pia hata Dalali kafumu kaoa mpare. Wana ushemeji ba Mruma ndo maana alitaka kujilipua
ndo huyo kafumuNa pia hata Dalali kafumu kaoa mpare. Wana ushemeji ba Mruma ndo maana alitaka kujilipua
ni dr kafumuKweli nimekumbuka
Kama walivyopewa kule STAMIGOLD!Haya mashimo sijui atayafukia nani?wasije wakapewa stamico wayafukie.View attachment 522862
Mnahangaiaka na Dokta wakati walio liingizia Taifa hasara ni Viongozi Wakuu wa Nchi hii?..
Endeleeni kuwaongezea kinga nyingine ili wasishitakiwe ,Waheshimiwa hawa..
Pumbav sana nyie ,mnatupa hasara hivi hivi...
Nilivyomuelewa Rais ni kuwa huyo dokta ni mpare,kwa hiyo mafisadi wakamtumia akamuhonge mwenyekiti wa kamati ya kwanza ambaye ni mpare mwenzie.GTs,
Hivi huyu Dkt aliyetaka kuwahonga ile timu ya ukaguzi anaitwa nani?
Je, hawezi kuwa moja ya watoto wa wanasheria waliopita?
Mimi nafanya dodoso hapa,
Kuna jina moja la Mwanyika, huyu Johnson Paulo Mathias Mwanyika alishawahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, pia kuna jina hilo hilo Mwanyika anacheo fulani huko migodini.
Ila kuna mkaka mmoja anaitwa pia Dkt Moris Mwanyika nadhani atakuwa anafanya kazi Muhimbili.
Je, ndiye anaweza kuwa alitaka kuokoa jahazi la baba yake mzee Johnson Paulo Mathias Mwanyika.
Jibu hilo litakuwa ndiyo kama kuna mtu ana info hapa aongezee nyama kama ifuatavyo.
Je, Dkt Mwanyika, Mwanasheria mkuu wa zamani mzee Johnson Paulo Mathias Mwanyika ni baba na mtoto?
Naomba kuwasilisha wadau
GTs,

Wakamatwe kwa kutaka kuhonga? Kabla ya kuhonga ushahidi utaupata wapi?Sina haja ya kumjua huyo Dk.... Ila kwanini hawa wanaotaka kuhonga hawakamatwi???
CCM wizi ni fani yenu mmezoea vya kunyongaSafi Vijana wa chadema mnaonesha uzalendo kwa hili!
Ndio dk Dalali Kafumu.ndo huyo kafumu
Kwanini wasingesubiri ahonge kama ni kweliWakamatwe kwa kutaka kuhonga? Kabla ya kuhonga ushahidi utaupata wapi?
Hebu tujaribu kuwa wazalendo kwa nchi yetu. Sasa kama miongoni mwa hao CCM amejitokeza kuokoa utajiri wa nchi yetu, bado mnataka tuwaachie walafi watumalize kabisa? Rais ana nia njema na nchi hii, na hii inaonesha kuwa haya mambo yalikuwa yanamkera na hakuwa na namna nyingine kwa sababu alikuwa ni sehemu ya serikali.
Mh. Rais amepata nafasi ya kulishughulikia hili jambo basi sisi tumuunge mkono!
Well said!Hebu tujaribu kuwa wazalendo kwa nchi yetu. Sasa kama miongoni mwa hao CCM amejitokeza kuokoa utajiri wa nchi yetu, bado mnataka tuwaachie walafi watumalize kabisa? Rais ana nia njema na nchi hii, na hii inaonesha kuwa haya mambo yalikuwa yanamkera na hakuwa na namna nyingine kwa sababu alikuwa ni sehemu ya serikali.
Mh. Rais amepata nafasi ya kulishughulikia hili jambo basi sisi tumuunge mkono!
Kuna huyu Deo Mwanyika,Makamu wa Rais wa Acacia ambaye ni mdogo wake na Johson Mwanyika ambaye ni AG mstaafu
namkubali Dogo aliyeimba Niko bongo bahati mbaya.Hivi tumekuwa na roho ngumu za kinafiki kwa nini? nimemsikia kada mmoja wa ccm akihojiwa Redio Tanzania au TBC akidai wale wote waliotajwa na tume ya pili waondoke haraka kwani wataendelea kupaka chama matope.
Hivi kwa nini hatupendi kusema ukweli na matokeo yake tunaendeleza unafiki? hao wote wanaotajwa hapo walikuwa ni viongozi na makada wa ccm amabo walikuwa wanasimamia kile kilichokuwa kinatekelezwa na serikali ya ccm na kupitishwa kwa miswaada ya dharula iliyoletwa na serikali ya ccm.
Sheria zote za uchimbaji madini na hata ile iliyopitishwa kwa hati ya dharula zilipitishwa kwa sauti za ndio na wabunge wa ccm tena wakiwakejeli na kuwapiga vijembe wabunge wa upinzani. Leo ingewezekana Rais kuwaomba radhi wananchi kwa niaba ya chama chake ambacho kimewaibia watanzania miaka yote maana hakuna chama kingine ambacho kimewahi kutawala nchi hii.
Hilo swala la kupitia upya sheria mbalimbali za madini ndicho Lissu na Mnyika wameyarudia mara zote wakadhihakiwa na wabunge wa ccm, hivi hizo sheria zinazoenda kufanyiwa marekebisho wabunge wa ccm watasema nini wakati walizipitisha kwa mbwembwe na kuwadharau wapinzani waliona hazipo vizuri?
Usijali utakuwa nikwaajili ya mashindano ya pikipikiHaya mashimo sijui atayafukia nani?wasije wakapewa stamico wayafukie.View attachment 522862
Hebu tujaribu kuwa wazalendo kwa nchi yetu. Sasa kama miongoni mwa hao CCM amejitokeza kuokoa utajiri wa nchi yetu, bado mnataka tuwaachie walafi watumalize kabisa? Rais ana nia njema na nchi hii, na hii inaonesha kuwa haya mambo yalikuwa yanamkera na hakuwa na namna nyingine kwa sababu alikuwa ni sehemu ya serikali.
Mh. Rais amepata nafasi ya kulishughulikia hili jambo basi sisi tumuunge mkono!
Nadhani zile hisa za 15% za Tanzania zilizorudishwa ACACIA hazikuuzwa kwa mtu bali ilikuwa ni mitaji binafsi ya hawa wakina Mwanyika na viongozi wengine.Swali, je Dkt Moris Mwanyika ni mtoto wa Johnson Paulo Mathias Mwanyika?
Ina maana hata huyo Deo Mwanyika alipata hicho cheo kama rushwa, it was not competency. Na inaonekana Johnson Paulo Mathias Mwanyika alipiga sana hela.
Mbona wewe inakuuma sana kuona Magufuli anafanikiwa katika kazi yake?Mnahangaiaka na Dokta wakati walio liingizia Taifa hasara ni Viongozi Wakuu wa Nchi hii?..