Jina Dkt–Muhimbili aliyetaka kuhonga timu ya Makanikia

GTs,

Hivi huyu Dkt aliyetaka kuwahonga ile timu ya ukaguzi anaitwa nani?
Je, hawezi kuwa moja ya watoto wa wanasheria waliopita?
Mimi nafanya dodoso hapa,

Kuna jina moja la Mwanyika, huyu Johnson Paulo Mathias Mwanyika alishawahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, pia kuna jina hilo hilo Mwanyika anacheo fulani huko migodini.

Ila kuna mkaka mmoja anaitwa pia Dkt Moris Mwanyika nadhani atakuwa anafanya kazi Muhimbili.

Je, ndiye anaweza kuwa alitaka kuokoa jahazi la baba yake mzee Johnson Paulo Mathias Mwanyika.

Jibu hilo litakuwa ndiyo kama kuna mtu ana info hapa aongezee nyama kama ifuatavyo.

Je, Dkt Mwanyika, Mwanasheria mkuu wa zamani mzee Johnson Paulo Mathias Mwanyika ni baba na mtoto?

Naomba kuwasilisha wadau
Umewasilisha mavi matupu
 
Waacheni wajanja wapige sarafu na vilaza waishie kulalama kua wanaibiwa ili siku ziende.
 
Mkuu Mwanyika sidhan kama ni wapare na Dk. aliyetajwa inasemekana ni mpare na alitumwa kumshawishi mpare mwenzie Mruma
 
Sina haja ya kumjua huyo Dk.... Ila kwanini hawa wanaotaka kuhonga hawakamatwi???
Hukumsikia Mh.JPM alisema walimkamata huyo daktari kisha wakamuonea huruma wakamwambie nenda ukafanye kazi ya kutibu watu kazini kwako Muhimbili? Ulifuatilia vizuri kila hotuba au tukio ktk uwasilishaji wa ripoti part 2 ya makinikia?
 
Tuliosoma Tabora Boys' A-level 1999-2001, PCB Tunamjua vizuri Mourice Mwanyika (Dr).
Mtoa mada jaribu guessing nyingine si huyu.
Mudawote
Wewe unamchanganya na Gasper Mwanyika,huyu Gasper ndio kapita Tabora Boys 2000-2002
Huyu wa Muhimbili ni Morice Mwanyika,huyu ye alisoma Mzumbe Sekondari 2000-2002.Hawa wote walisoma Mafinga Seminari 1996-1999
 
GTs,

Hivi huyu Dkt aliyetaka kuwahonga ile timu ya ukaguzi anaitwa nani?
Je, hawezi kuwa moja ya watoto wa wanasheria waliopita?
Mimi nafanya dodoso hapa,

Kuna jina moja la Mwanyika, huyu Johnson Paulo Mathias Mwanyika alishawahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, pia kuna jina hilo hilo Mwanyika anacheo fulani huko migodini.

Ila kuna mkaka mmoja anaitwa pia Dkt Moris Mwanyika nadhani atakuwa anafanya kazi Muhimbili.

Je, ndiye anaweza kuwa alitaka kuokoa jahazi la baba yake mzee Johnson Paulo Mathias Mwanyika.

Jibu hilo litakuwa ndiyo kama kuna mtu ana info hapa aongezee nyama kama ifuatavyo.

Je, Dkt Mwanyika, Mwanasheria mkuu wa zamani mzee Johnson Paulo Mathias Mwanyika ni baba na mtoto?

Naomba kuwasilisha wadau
Correction: Dkt.Moris Mwanyika ni mbena kwao njombe.Ni mdogo wake Deo Mwanyika wa ACACIA/Barrick.
 
Mwanyika na wapare wapi na wapi Mudawote? Go back ufanye utafiti wako tena.

BTW, Dr. Mwanyika is a very good doctor, alimuokoa close relative asife na mimba yake.
 
Hebu tujaribu kuwa wazalendo kwa nchi yetu. Sasa kama miongoni mwa hao CCM amejitokeza kuokoa utajiri wa nchi yetu, bado mnataka tuwaachie walafi watumalize kabisa? Rais ana nia njema na nchi hii.
Sidhani kama watu wanampinga Rais; wanakosoa approach wakiiona kuwa too political and populist na kwamba inaweza kuigharimu nchi! Wanataka ukomavu wa kisiasa, diplomasia, utawala bora na ushirikishwaji. Ukiona kwa mfano, serikali ya ccm ikizidhalilisha serikali za chama hicho hicho zilizotangulia lazima ujiulize maswali. Kama zilifanya makosa ni jukumu letu wa leo kusahihisha without much ado. Tatizo la msingi ni sheria ya madini na mikataba mibovu. Tunajua kuna mazingiria ya wakati ule yaliyopelekea hiyo sheria na mikataba. Why then waste time and resources kuunda kamati na kuzitumia kuutekenya umma? Kwanini tukimbilie kugombana na washirika wetu kabla ya kuzungumza nao? Tunatoa ujumbe gani kwa wawekezaji wa dunia hii tunaowahitaji?
 
image.jpeg
Correction: Dkt.Moris Mwanyika ni mbena kwao njombe.Ni mdogo wake Deo Mwanyika wa ACACIA/Barrick.
Ni Mbena wa kijiji cha Uwemba huko Njombe
Huyo mwenye "kipimio" shingoni...ndio Dr Morice Mwanyika mabaye nj mdogo wa Mwanyika wa ACACIA
 
wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
NDO MLICHOPEWA MPOST LEO HIKI NINI? AU UMENYIMWA PERDIEM UNAKUA MVIVU SASA HII TXTS KILA MAHALI UNAPOST MKUU
 
Mkuuu HUYU MANYIKA SIO ALIEKUWA MWANASHERIA MKUU..ILA WANA UNDUGU NA KIJANA WETU MANYIKA WA BARRICK...NAOMBA NIELEKEZE..
Deo Mwanyika wa Barrick ni Mbena wa Njombe, huyo mwingine ni Mpare. Majina yamefanana tu!
 
Ni Chenge aliyehakikisha anamwachia Mwanyika kiti cha AG. Deo Mwanyika kuwa Acacia siyo bahati mbaye; ni wakala anayelinda na kuwakilsha maslahi ya Chenge & others kupitia guarantee ya kaka yake former AG.
 
wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders

Chenge kwanini ana kiburi sana hata kwa makosa yaliyo dhahiri? Ego yake ni tatizo sana. Kuudharaua umma kuna gharama zake
 
wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
 
wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
 
wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
umewasahau Lowasa, Sumaye, Masha, kingunge
 
Me kwahili naomba tumuunge rais mkono ili tuokoe tulichoibiwa kwanza mengne hayo tutakutana majukwaani ila sasa tupganie hili pamoja kuomba vyombo vinavyohusika kuwashugulikia hao waliotajwa kweli kweli isiwe tena changa la macho
 
Back
Top Bottom