Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
Wapewe mara ngapi? Wameshapewa Tulawaka wakizuga watachimba. Sasa wamekwama mzigo hakuna wamebaki kufukia. CCM ni janga la nchi hii.Haya mashimo sijui atayafukia nani?wasije wakapewa stamico wayafukie.View attachment 522862