Jina Dkt–Muhimbili aliyetaka kuhonga timu ya Makanikia

Jina Dkt–Muhimbili aliyetaka kuhonga timu ya Makanikia

Mwanyika na wapare wapi na wapi Mudawote? Go back ufanye utafiti wako tena.

BTW, Dr. Mwanyika is a very good doctor, alimuokoa close relative asife na mimba yake.
Ok, Mungu ambariki kwa hilo
 
Kwa hiyo wewe ulitakaje? ??? Hata kama yote yalifanyika magufuli akiwepo ndiyo amepata nafasi na power sasa ya kurekebisha...We kinachokuuma ni nini? ?

Ili kutatua tatizo ni lazima ujue chanzo chake. Kinachouma ni JPM kukataa kutambua chanzo cha tatizo, CCM. Akiri hadharani na atuombe radhi Watanzania kwa makosa makubwa yaliyofanywa na CCM ikiwemo wizi wa mali za Watanzania, uongozi mbovu, na kutunga sheria za kuwaibia Watanzania maskini mali zao walizopewa na Mungu. Yale yote aliyoyasema leo - watu maskini wanateseka, wagonjwa wamekufa kwa kukosa dawa, watu wamefia Lake Victoria kwa ufinyu wa miundo mbinu - yote hayo yalitokana na tabia ya CCM kulea ufisadi. Aombe radhi akiwa kama Mwenyekiti wa CCM. Baada ya kutambua chanzo cha tatizo na kuomba radhi atakuwa amejiweka kwenye nafasi nzuri ya kutatua tatizo.
 
umeambuwa dr. mwanasheria, kabila pendwa unazunguka kuulizia mwanyika...
 
wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
7b5434005041a53850c9d55d5e791c63.jpg
na ushahidi huo hapo mkuu nimeongezea.
 
umewasahau Lowasa, Sumaye, Masha, kingunge
Hivi MTU akiokoka utaendelea kumlaumu kwa dhambi alizoshiriki kabla ya wokovu wake kwa kumuhesabia pamoja na wale walio baki dhambini?
 
Sina haja ya kumjua huyo Dk.... Ila kwanini hawa wanaotaka kuhonga hawakamatwi???

Swali la Msingi sana Mkuu umeuliza ,tatizo hawa Wakuu wa Nchi wanataka kutulisha maneno kama kasuku ..
 
Huyo bwana mkubwa sijawahi kumuamini maneno yake tangu pale alipotuambia hachagui wapinzani kwenye serikali yake baadae akasema alimaanisha kuwachagua kuwa wabunge.

Naishia kumuangalia na kucheka tu kwa dharau..
 
Sina haja ya kumjua huyo Dk.... Ila kwanini hawa wanaotaka kuhonga hawakamatwi???
Kukupa like tu haitoshi,nami naweka msisitizo kwanini hawakamatwi na kuchukuliwa sheria?kila siku wanarudia kutaka kumuhonga rais au hiyo kamati yake,au wapo juu ya sheria???
 
Hivi tumekuwa na roho ngumu za kinafiki kwa nini? nimemsikia kada mmoja wa ccm akihojiwa Redio Tanzania au TBC akidai wale wote waliotajwa na tume ya pili waondoke haraka kwani wataendelea kupaka chama matope.

Hivi kwa nini hatupendi kusema ukweli na matokeo yake tunaendeleza unafiki? hao wote wanaotajwa hapo walikuwa ni viongozi na makada wa ccm amabo walikuwa wanasimamia kile kilichokuwa kinatekelezwa na serikali ya ccm na kupitishwa kwa miswaada ya dharula iliyoletwa na serikali ya ccm.

Sheria zote za uchimbaji madini na hata ile iliyopitishwa kwa hati ya dharula zilipitishwa kwa sauti za ndio na wabunge wa ccm tena wakiwakejeli na kuwapiga vijembe wabunge wa upinzani. Leo ingewezekana Rais kuwaomba radhi wananchi kwa niaba ya chama chake ambacho kimewaibia watanzania miaka yote maana hakuna chama kingine ambacho kimewahi kutawala nchi hii.

Hilo swala la kupitia upya sheria mbalimbali za madini ndicho Lissu na Mnyika wameyarudia mara zote wakadhihakiwa na wabunge wa ccm, hivi hizo sheria zinazoenda kufanyiwa marekebisho wabunge wa ccm watasema nini wakati walizipitisha kwa mbwembwe na kuwadharau wapinzani waliona hazipo vizuri?
Tatizo lenu kila kitu ni siasa hamujui maana ya democracy kuna kupiga kura kila baada miaka mitano naomba unijibu
Kwa nini tunapiga kura kila baada miaka mitano ?
 
Hebu tujaribu kuwa wazalendo kwa nchi yetu. Sasa kama miongoni mwa hao CCM amejitokeza kuokoa utajiri wa nchi yetu, bado mnataka tuwaachie walafi watumalize kabisa? Rais ana nia njema na nchi hii, na hii inaonesha kuwa haya mambo yalikuwa yanamkera na hakuwa na namna nyingine kwa sababu alikuwa ni sehemu ya serikali.

Mh. Rais amepata nafasi ya kulishughulikia hili jambo basi sisi tumuunge mkono!
Inawezekana kabisaa Rais anania njema na Taifa letu,tunachoomba akianza kupeleka mikataba ya Madini Bungeni asikose kupeleka na mingine kama ya ndege alizonunua,mikataba ya Gesi,mikataba ya Ujenzi mfano zile Hostel,nk nk iwekwe wazi,akimaliza atuletee Katiba ya Wananchi ili kuwaondolea kinga Marais wajao wakifanya madudu kama haya hapo nitamuona Rais wangu anania ya dhati na uchungu kutusaidia Watanzania la sivyo ni wimbo ule ule CCM mbele kwa mbele.
 
Hebu tujaribu kuwa wazalendo kwa nchi yetu. Sasa kama miongoni mwa hao CCM amejitokeza kuokoa utajiri wa nchi yetu, bado mnataka tuwaachie walafi watumalize kabisa? Rais ana nia njema na nchi hii, na hii inaonesha kuwa haya mambo yalikuwa yanamkera na hakuwa na namna nyingine kwa sababu alikuwa ni sehemu ya serikali.

Mh. Rais amepata nafasi ya kulishughulikia hili jambo basi sisi tumuunge mkono!
Mimi naona anapata uungwaji mkono kwa kiwango cha hali ya juu sana na kubwa zaidi ni pale anaposhikwa sikio kwamba hata hao waliotajwa tajwa walikuwa wanatekeleza majukumu yao kulingana na "taratibu-kanuni-sheria" zilizopitishwa.
 
Ni Chenge aliyehakikisha anamwachia Mwanyika kiti cha AG. Deo Mwanyika kuwa Acacia siyo bahati mbaye; ni wakala anayelinda na kuwakilsha maslahi ya Chenge & others kupitia guarantee ya kaka yake former AG.
Jonson Mwanyika- mpare k'njaro
Deo Mwanyika- mbena iringa
 
Wakati ripoti imesomwa wamesema huyo daktari ni mpare,usitake kuchafua majina ya watu, Je huyo unayemtaja ni mpare Kama sio usiendelee kuchafua watu
Siku hizi tunatambuana kwa kabila
 
Back
Top Bottom