bowlibo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 3,209
- 2,920
Kipindi cha nyuma uchunguzi wangu unaonyesha kuwa kulikuwa na ufadhali lakini kadri siku zinavyozidi kwenda na wanawake warefu wanazidi kuadimika.
Uchunguzi wangu unaonyesha wewe zamani ulikuwa mfupi kwa kimo cha ukuaji, sasa umri umeongezeka, umekua mpaka unawaona wakubwa kwako ni wadogo. Hata hivyo na mimi ni MCHUNGUZI HURU
Last edited by a moderator: