Jiji la Dar lina uhaba wa wanawake warefu

Jiji la Dar lina uhaba wa wanawake warefu

mmmh, ndio vimo vya watanzania wengi, kama unataka warefu nenda Southern Sudan, Ethiopia, Somalia n.k not here
 
Brazaaaaa hawa warefu wa nn tena? Inasemekana warefu na vina vyao virfu na ukichunguza sanaaa utagunduo ndio wanaotangaza vibamia humu ndani
 
wewe utakuwa super giant,yani wasichana warefu ni wengi sana dar,ukienda kwenye ma occasion utakimbia,huo urefu unaosema wewe ni upi?
 
Ushauri wa bure, acha kutumia ugoro wewe bado kijana mdogo, unaandika upuuzi mtupu...
 
Hahaaa!ushawah kuona mtu anasutwa mpaka anakufa?ngoja wazawa wakuje!ohooo!
 
:bump:........
Siku zinavyozidi kusonga mbele hapa jijini naona asilimia zaidi ya 75 ni wafupi, sijaelewa ni nini kimetokea ila ukweli ni kwamba wanawake warefu wamekuwa wachache sana Dar es Salaam.

Hata ukija na jazba, ukweli ndio huo kuwa wanawake warefu jijini Dar wameadimika sana.

MCHUNGUZI HURU
 
Huku kwetu dutch 99.9% ya wanawake ni warefu.
 
ImageUploadedByJamiiForums1403580371.681771.jpg mbona mie nipo jamanii na Dar hiii
 
Back
Top Bottom