Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,276
kweli tupu mkuu!
pouwaaaaaaaaaaa
kweli tupu mkuu!
Siku zinavyozidi kusonga mbele hapa jijini naona asilimia zaidi ya 75 ni wafupi, sijaelewa ni nini kimetokea ila ukweli ni kwamba wanawake warefu wamekuwa wachache sana Dar es Salaam.
Hata ukija na jazba, ukweli ndio huo kuwa wanawake warefu jijini Dar wameadimika sana.
MCHUNGUZI HURU
Hahahahahah mbona povu jingi au weye andunje Ni Ni??? Ndo mana tukipita kina siye mimacho inawatoka
Mbona tupo wengi tu jamani koh koh koh
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Takwimuu siku za nyuma zilikuwa zinaonyeshaje?
Siku zinavyozidi kusonga mbele hapa jijini naona asilimia zaidi ya 75 ni wafupi, sijaelewa ni nini kimetokea ila ukweli ni kwamba wanawake warefu wamekuwa wachache sana Dar es Salaam.
Hata ukija na jazba, ukweli ndio huo kuwa wanawake warefu jijini Dar wameadimika sana.
MCHUNGUZI HURU
vipi, lile tatizo ulilokkuwa linakusumbua wanawake kukukataa shauri ya ufupi limepungua?!!
Siku zinavyozidi kusonga mbele hapa jijini naona asilimia zaidi ya 75 ni wafupi, sijaelewa ni nini kimetokea ila ukweli ni kwamba wanawake warefu wamekuwa wachache sana Dar es Salaam.
Hata ukija na jazba, ukweli ndio huo kuwa wanawake warefu jijini Dar wameadimika sana.
MCHUNGUZI HURU
Mbilikimo wengi wanaishi mjini.
wajameni na mimi naona hiyo asilimia 30 kaipunja sana angeongezaongeza.....bhasi sawaaaa tumefunga mjadala
weka data mkuu
Vipi mkuu, kwani wanawake wana dushelele?Mkuu MCHUNGUZI HURU una zungumzia warefu kwenye dushelele au?