Mbona mamiss wengi ni wakazi wa Dar unataka tuamini kwamba mwanamke mfupi anaweza kuwa mrembo?
Mbona tupo wengi tu jamani koh koh koh
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mbona warefu wengi ..tembea usiku maeneo ya salenda utawaona
JF imeishiwa topiki?? Huna data, then una-conclude very simple namna hii. Tupe time series analysis, tuone; mwaka 2005 kulikuwa na wanawake warefu wangapi? 2006 wanawake warefu wangapi? 2007 wanawake warefu wangapi? 2008 wanawake warefu wangapi, then...., 2014 wanawake warefu wangapi? Unakurupuka tu, kama umetoka kwenye ghetto la walevi wa pombe za kienyeji na ku-conclude rahisi namna hii? Kama huna mada ya maana, nyamaza kimya.

Mimi binafsi ni mrefu kwa kweli,ila uyasemayo nahc yana ukweli ndan yake...labda wapare ni wengi maana wao ndo wanaongoza kwa ufupi: nb. Wadada wa kipare mnisamehe huo ni mtazamo tu.
Hata wanaume pia ni wafupi mnooooooooooo shidaaaaaaaaaaa
Hao wanawake ni warefu wa kimo au kina?