simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,764
- 9,680
Ushadi tosha wa lishe duni hasa utotoni.
Ntajua siku nikifika huko dar kwenu
Siku zinavyozidi kusonga mbele hapa jijini naona asilimia zaidi ya 75 ni wafupi, sijaelewa ni nini kimetokea ila ukweli ni kwamba wanawake warefu wamekuwa wachache sana Dar es Salaam.
Hata ukija na jazba, ukweli ndio huo kuwa wanawake warefu jijini Dar wameadimika sana.
MCHUNGUZI HURU
ha ha ha..... lazima nikutafute kigoriView attachment 166781 mbona mie nipo jamanii na Dar hiii
Inategemea na How tall!Siku zinavyozidi kusonga mbele hapa jijini naona asilimia zaidi ya 75 ni wafupi, sijaelewa ni nini kimetokea ila ukweli ni kwamba wanawake warefu wamekuwa wachache sana Dar es Salaam.
Hata ukija na jazba, ukweli ndio huo kuwa wanawake warefu jijini Dar wameadimika sana.
MCHUNGUZI HURU
Siku zinavyozidi kusonga mbele hapa jijini naona asilimia zaidi ya 75 ni wafupi, sijaelewa ni nini kimetokea ila ukweli ni kwamba wanawake warefu wamekuwa wachache sana Dar es Salaam.
Hata ukija na jazba, ukweli ndio huo kuwa wanawake warefu jijini Dar wameadimika sana.
MCHUNGUZI HURU
Siku zinavyozidi kusonga mbele hapa jijini naona asilimia zaidi ya 75 ni wafupi, sijaelewa ni nini kimetokea ila ukweli ni kwamba wanawake warefu wamekuwa wachache sana Dar es Salaam.
Hata ukija na jazba, ukweli ndio huo kuwa wanawake warefu jijini Dar wameadimika sana.
MCHUNGUZI HURU
Habari.
Ni kweli maneno yako. Na sababu zinazofanya uchunguzi wako kuwa wa kweli zinafuata chini kama ifuatavyo.
Kwanza. Wengi wa wanawake wa dar wanavuta Sigara kulinganisha na mikoani kutokana na kuingia mjini au kuwa wa kileo zaidi.
Pili. Dar ni mji ulioendelea na wenye viwanda, hali ya hewa inayotolewa viwandani ule moshi unaharibu vizazi ndo maana wanazaliwa wafupi ama hawakuwi inavotakiwa.
Tatu. Kukosa usingizi vizuri ni sababu moja wapo pia. Wanawake wa dar hawapati usingizi vizuri kutokana na mji wenyewe ulivo lazima uamke mapema ili uwahi kazini na kurudi unachelewa kutokana na foleni, tofauti na mikoani.
Nne. Kula mlo mzuri. Wanawake wengi wa dar hawali vizuri kutokana na jiji lenyewe kuwa bei ghali, kodi unayoilipa mkoani na dar tofauti, sasa unajikuta mtu unajibana kula ili uweze kuishi mjini, matokeo yake ndo unadumaa, na pia chakula sio kizuri, wakati mikoani wanakula vizuri na chakula kipo safi kabisa, mwanamke wa dar anashindia chipsi, nenda mkoani unakuta mdada anagonga ugali sahani nzima imejaa hadi unashangaa, mtoto ana afya, lakini wa dar wote wembamba wana maintain figure.
Tano. Kutokana na mji kutokua msafi, inasababishia wanawake wengi kuumwa mara kwa mara, hii hali sio nzuri kiafya na kusababisha kuumwa mara kwa mara, zile dawa tunazopewa hospitali ni sumu tupu, unapona lakini unajiharibu pia kama hivo haturefuki.
Sita. Wanawake wa dar ni wavivu wa mazoezi. Wao ni club club na wao, starehe nyingi, sasa mda wa mazoezi tunaukosa, kuenda hapo na hapo tu mpaka bajaji, hii hali inadumaza miili ni moja ya sababu nzuri kupelekea kuwa wafupi.
Sababu zilizotajwa hapo juu zinaua cell za mwili zinazosababisha kwenye ukuaji wa mwili, hasa kwa vijana wakike wanaokua.
Asanteni,
Hizo sababu zinge apply kwa wote bila shaka
Kwani hawana Mbunye?
Zina apply kwa wote ndio, lakini mtoa mada kagusia upande wakikeni zaidi.
Ushaona wapi wanaume wa dar warefu. LoL
wewe utakuwa super giant,yani wasichana warefu ni wengi sana dar,ukienda kwenye ma occasion utakimbia,huo urefu unaosema wewe ni upi?
Sihitaji kuwaona maana mimi mweyewe mrefu 1.73 cm !