luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,798
Diamond, Aunt Ezekiel,
Linah, Joti, Barnaba, Banana, Mr. Blue, Lulu, Ridhi Kikwete, Ally
Kiba.........
mmmmmmmmm??????????????
Diamond, Aunt Ezekiel,
Linah, Joti, Barnaba, Banana, Mr. Blue, Lulu, Ridhi Kikwete, Ally
Kiba.........
Siku zinavyozidi
kusonga mbele hapa jijini naona asilimia zaidi ya 75 ni wafupi,
sijaelewa ni nini kimetokea ila ukweli ni kwamba wanawake warefu
wamekuwa wachache sana Dar es Salaam.
Hata ukija na jazba, ukweli ndio huo kuwa wanawake warefu jijini Dar
wameadimika sana.
BY: SUPU YA MAWE
Hao warefu kwa stahili hii watapatikana
ndo tatizo la kuwa mrefu kama kojo la asubuhi, huwezi kupata size yako nenda MOI wakupunguze fito hizo
kwahiyo tufanyeje ????!!!????????????!!!!!!!!!!!!!!!
kwa hiyo mjiongeze my. Ni sheeeeeeeeeeeedah!
just imagine ndio unakua na mwanaume kama huyu ndio mumeo heheheeee!!(kidding)
una utani na wazawa.