Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

Kote huko nimeishi buda, maeneo ndo nlikua naishi huko nimetoka mwaka jana tu,
Karibu Mkoa wa Mara.
Watu wa Mara wengi ni porters tu kilimanjaro naona ulinusurika kifo kwenye baranko wall aka jiwe la kubusu
 
Kukuthihirishia namna gani ulivyo soro hizo statistics zimetolewa July na ongezeko linapimwa kila mwezi zikilinganishwa na the same month last year respectively sasa unavyoongea hii loshoro yako hapa unakua unanipa wakati mgumu sana kutambua naongea na mtu wa aina gani, mambo usiyoyajua usilete upumbavu wako nimeshakuambia hujui kitu kuhusu utalii hii sector wanaielewa wadau wewe endelea kuvua dagaa huko ziwani.
Nimekuambia unaakili fupi sasa umedhihirisha hivyo. Kila ongezeko lina sababu tafuta sababu usiwe kama gendaeka, asiyejua kusoma stistics zaidi ya kukariri tu kwa mwezi.

Soma trend over years compare miakaa ya uchaguzi hali inakuje. Na angali je baaada ya uchaguzi hali inakuaje usiongee tu kama kasuku anayemezeshwa maneno.

Fanya stocastic analysis uone....
 
Mkuu nikiwa Arusha huwa naweza kutembea kwa miguu nikiwa na mtoto mzuri kuanzia Sekei mpaka Kisongo...kwasababu hali ya hewa ni conducive isiyochosha.

Unakuta hadi mtoto mwenyewe ananiambia yanini tupande hiace bwana? mi nataka twende kwa miguu

Na hata nikifika kisongo hata chembe ya jasho sina...

ILA Dsm kutoka tu Mwenge kuingia sinza mtu unaloa na kutoka jasho kama vile ulikuwa unachochea tanuru.


LONG LIVE CHUGA.....ua blessed.
Uwiiiiiiiiiii..
Sakina to kisongo...
Halafu mnapiga story za ma lovie mbona ni pale tuu DKK 0

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umeshatembea nchi zingine utagundua ni kawaida kwa majiji makubwa pia kuwa na sehemu congested ama slums ambazo kwa bongo zinautwa uswahilini.

Hata RSA kuna soweto, Nairobi kuna Kibera.


Ila hiyo bado haiondoi uzuri wa Arusha.


Arusha is a blessed city.
Kwanza sombetini siyo pabaya hata kidogo. Barabara za lami kila kona.
Viva [HASHTAG]#BANANGA[/HASHTAG] viva


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenda huko nan asiyepajua huko maporini? Au uwanja wa ndge uliochoka ule ndo unakupa kiburi?
Kisongo siyo porini, ila kuna maeneo mengi hayajajengwa , ni ni kutokana na asili ya watu tutokupenda kuuza mashamba yao..
Kisongo kuna nyumba za ukweli.
Kisongo kuna viwanda vya kutosha.
Kwa kifupi kisongo kuna Utajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha ndiyo mji wenye miti mingi kuliko mji wowote Tanzania. Hali hii inafanya jiji hili kuwa na hali ya hewa safi na madhari nzuri ya kuvutia.

Pia Arusha ndipo wanapoishi watu wenye akili nyingi zaidi Tanzania.

Hata wanaoichuikia Arusha na watu wake wanakiri ukiweza kuishi na kutoboa Arusha basi utaweza kuishi popote Tanzania.

Long live Arusha.....Proud city with intelligent people.

Proud Arushan....
nimecheka sana
 
Mi ninachojua ni kwamba binadamu huchukia kile kinachomtisha. Karibuni Arusha haters.
 
DUH kumbe zile kelele za VAT kukimbiza watalii ni uzushi tu....hongereni Arusha na wizara inayohusika na utalii. Btw nilisikia kwa mwaka Tanzania inapokea watalii 1m kwa mwaka, sasa hii 2.3m ni zaidi ya mara mbili ya kiwango tunachosikia. Tuwekee source ya takwimu zako mkuu hasason

The Most Visited Countries In Africa
 
Watu wa Mara wengi ni porters tu kilimanjaro naona ulinusurika kifo kwenye baranko wall aka jiwe la kubusu

Wewe jamaa utakuwa ni mmbulu unaepigwa mishe huko Arusha , kama hata hujui tofauti ya Kilimanjaro na Arusha wewe ni nyumbu wa karne. Nimesema wapi nimeishi Kilimanjaro.?? Rudi Manyara ukaendeleze mkoa wako buda.
 
Back
Top Bottom