Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

Nashauri kuwe na kipimo cha ulemavu wa akili na alcohol before hujaanza kutumia jf.kama umelewa au mlemavu wa akil jf igome kufunguka.kuna watu humu ndan jf ingegoma kila siku

python mobile
 
Ufwala huu.. hayo mabangaloo yamejengwa wapi? Au ile Shopprite ya pale magogo mwanzo ndo mnaisemea?
Kumbe tunabishana na mtu asiejua kitu,fanya mpango utoke huko singida uje uone hayo mabadiliko,nyie si ndio mkitokaga huko singidani mnashukia majengo then mnasema Ngarenaro ni kubwa kuliko Arusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe
Mkuu kazi inaendelea kwa speed ya mwanga kazi kubwa imeelekezwa arusha bypass kwanzia sakina - Kisongo - Njiro - USA River inapita nyuma ya jiji barabara mpya kabisa
 
Mkuu acha upunguani basi... TANZANIA kuna vigezo vilivyowekwa na TAMISEMI ili mji kuwa manispaa, Jiji n.k.. vigezo vya kuwa jiji..
1. Idadi ya watu ifikie 500k
2. Iwe na uwezo wa kujihudumia kwa pato lake la ndani ambalo husimamiwa na jiji kwa angalau 95%
3. Vyuo vikuu vya kutosha
4. Viwanda vya kutosha
5. Huduma za kijamii hasa hospitali ya RUFAA,
6. Kuwe na Jumba la mikutano lenye kuhodhi shughuli za kimataifa kimataifa. ARUSHA HAINA HATA KIWANJA CHA NDEGE CHA KUTUA NDEGE KUBWA..

Hivyo vigezo kwa ukiangalia majiji yetu utagundua kuwa tunalazimisha sehemu kuwa jiji..
Hivyo basi GERMANY hawatumii vigezo hivyo kulipa eneo hadhi ya jiji..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unajiona mjuaji kuliko TAMISEMI walioweka hivyo vigezo. Kwanza unasema uongo. Hamna kigezo cha watu kuwa laki 5 ili mji wowote uwe na hadhi ya jiji. Huo ni utunzi wako.

Pili kiwanja cha ndege sio hoja. Tanga ni jiji na hamna hata IA. Kiwanja cha ndege cha Arusha kipo busy kuliko KIA na ni cha pili kwa kupitisha abiria wengi hapa Tanzania baada ya JKIA.

Pia hata vyuo vikuu Tanga hamna zaidi kile cha cha Masawe.

Nitajie jumba la mikutano lililopo Tanga au Mbeya na mm nitakutajia lililopo arusha.
Viwanda gani vilivyoko Mbeya kushinda Arusha?

Kigezo cha kujitegemea kwa mapato ya ndani Arusha ilifaulu siku nyingi kabla ya kuwa jiji.

Naona hivyo vigezo vingine umevitunga ukiwa unabugia chibuku.

Hayo TAMISEMI unayotaka ku refer naona siyo ile ya DODOMA ni mpya umeanzisha ya kijijini kwako.

Karibuni Moshi itakuwa jiji na haina watu laki tano. Sijui utasemaje na hizo fix zako
 
8b7e7048b1195eded7b76748465f6466.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikurupuke na vigezo. Hebu soma ili kuwa jiji unatakakiwa kutimiza vigezo vingapi kati ya hivyo. Jionee aibu maana hapa unataka kujifanya unaakili na mwerevu kuliko TAMISEMI walioviweka.
 
1. Idadi ya watu ni pungufu ya 500,000 hapo Arusha mjini.
2. Arusha haijitegemei kwa 95% kama walivyopanga TAMISEMI. maana UTALII sio ishu za LOCAL GOVERNMENT thats why TRA ndio husimamia mapato na makusanyo pia madini nk...

HILI NI JIJI UCHWARA

Sent using Jamii Forums mobile app
We utakua unamatatizo ya akili sio bure,,,kwanz wew mkoa wako upi usinambie Dar mana tunajua wengi wa dar ni migrant kutoka mikoa mingine af ni makapuruu wtee kaz kujaza popltion tu

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
 
ila chuga wazungu wnapigwaje ndole.juzi kuna wawili wamepigwa ndole ya hatari.wameachiwa ndala tu
Ndole sio kwa mzungu tu chuga, hata wewe mmassai unapigwa ngole tu , mjanja ndio anakula chuga,
 
Kabla hujapongeza jiulize nini kinatokea hapo Kenya leo. Hakuna mtalii ataingia hill huku kukiwa Hakuna uhakika wa usalama baada ya uchaguzi.

Hivyo sio muda muafaka wa kusema utalii umeongezeka Bali ni matokeo ya uchaguzi wa kenya
 
Mmepewa barabara nzr saana, lakini utumiaji wake utafikiri wote wamekunywa viroba... Sio vijana, sio wazee wala wanawake, tabia za viroba tuuuuu!.. Huwezi jua wanaoelekea Ngaramtoni wanaendeshea upande gani wala wanaoenda tengeru... Kwenye mataa hapo ndio utachoka... Huu mji watu wake wakorofi saaana,.. Sipendi Arusha, basi tu..
 
Arusha hamna soro kama wewe ni soro tafuta pori ulilotokea huku ni fighters tu
 
Kabla hujapongeza jiulize nini kinatokea hapo Kenya leo. Hakuna mtalii ataingia hill huku kukiwa Hakuna uhakika wa usalama baada ya uchaguzi.

Hivyo sio muda muafaka wa kusema utalii umeongezeka Bali ni matokeo ya uchaguzi wa kenya
Sidhani hata kama unajua gari za watalii zinafananaje so shut up kitu hujui using'ang'anie kuchangia
 
Back
Top Bottom