Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

hasason

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
1,648
Reaction score
1,543
img_20170808_141935_446-jpg.561143
IMG_20170807_095050.JPG
Kwa mara ya kwanza jiji la arusha limerikodi ongezeko kubwa la idadi ya watalii nchini tofauti na vipindi vilivyopita
IMG_20170807_095032.JPG

Ambapo mpaka sasa imerikodi watalii zaidi ya millions 2.3 ikiwa ni ongezeko la 47% huku kampuni za kitalii expeditions zikiongezeka kwa 31% hali inayotafsiriwa kama kiashiria kizuri cha sector hiyo nchini.
IMG_20170807_094959.JPG
IMG_20170807_094913.JPG

270d97de8f23109787687b816ebb5e97.jpg
 
Cha ajabu Ma co. Ya tours mengine yanauza Magari yao kwa kukosa kazi,Ma dereva wanalalamika watalii ni wachache sana.

Arusha ya sasa hivi sio ile iliyozoeleka aisee,kipindi kile watalii wa kutosha na pesa ilikua inaonekana sana.
 
View attachment 560874 Kwa mara ya kwanza jiji la arusha limerikodi ongezeko kubwa la idadi ya watalii nchini tofauti na vipindi vilivyopita
View attachment 560875
Ambapo mpaka sasa imerikodi watalii zaidi ya millions 2.3 ikiwa ni ongezeko la 47% huku kampuni za kitalii expeditions zikiongezeka kwa 31% hali inayotafsiriwa kama kiashiria kizuri cha sector hiyo nchini. View attachment 560876View attachment 560877

Mkuu, Weka na picha za Angle Sheraton, Sekei, Unga Limited, Kijenge na Matejoo!.
 
Cha ajabu Ma co. Ya tours mengine yanauza Magari yao kwa kukosa kazi,Ma dereva wanalalamika watalii ni wachache sana.

Arusha ya sasa hivi sio ile iliyozoeleka aisee,kipindi kile watalii wa kutosha na pesa ilikua inaonekana sana.
Company ipi hiyo? Zitakua za poaching sababu ndio wanaokula joto ya jiwe saivi, saivi mpaka makosta ya Arusha to Moshi yanabeba watalii we unasema magari yanauzwa
 
ila chuga wazungu wnapigwaje ndole.juzi kuna wawili wamepigwa ndole ya hatari.wameachiwa ndala tu
 
Cha ajabu Ma co. Ya tours mengine yanauza Magari yao kwa kukosa kazi,Ma dereva wanalalamika watalii ni wachache sana.

Arusha ya sasa hivi sio ile iliyozoeleka aisee,kipindi kile watalii wa kutosha na pesa ilikua inaonekana sana.
ajabu lingine ni kwamba idadi ya watalii mbuga za wanyama inaongezeka kila mwaka....
 
Back
Top Bottom