meshuko
Member
- Aug 31, 2016
- 12
- 6
Hatuzungumzii ukabila brotherAsili ya wakazi wa arusha ni wamasai wameru na wairaq wachaga wahamiaji tu wakitokea Kilimanjaro
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha siasa za maji taka kama mwizi mpeleke mahakamaniArusha walikosea sana kumchagua mbunge mwenye tuhuma za ujambazi, maana watalii wote walishasimuliana kuhusu huyu jambazi. 2020 nawashauri wachague Mbunge makini wa CCM.
Unakaa Kigogo sijui Mbagala alafu unasema unakaa Dar.. Wanaoishi Dar ni wale waliojenga ukanda wa bahari.. Nyie wengine ni wasindikizaji tu.. Malaya sikuhizi wanakimbia hilo jiji pesa hakuna na wanaume nguvu hawanaNa ndio Tanzania, endelea kujifariji😀
Wewe ni chupi alafu nyekundu sasa nani kakuambia Kenya ndio predictor wa utalii wa Tanzania? Kwanza messages zako za kipumbavu zilikua zinanisumbua kwenye msiba wa the mogul Mrema, juzi hapa Ngurdoto Mountain Lodge wametoka wageni zaidi ya 2500 kwenye annual summit yao from different countries in the world IFMSA general assembly,Nimekuambia unaakili fupi sasa umedhihirisha hivyo. Kila ongezeko lina sababu tafuta sababu usiwe kama gendaeka, asiyejua kusoma stistics zaidi ya kukariri tu kwa mwezi.
Soma trend over years compare miakaa ya uchaguzi hali inakuje. Na angali je baaada ya uchaguzi hali inakuaje usiongee tu kama kasuku anayemezeshwa maneno.
Fanya stocastic analysis uone....
Kabla ya kusema hivyo kumbuka 1970 Arusha iligawanywa na kupatikana mkoa wa Kilimanjaro na wairaq Kwa sasa wapo mkoa wa manyara manyara. Mchaga asili yake ni mmasaiAsili ya wakazi wa arusha ni wamasai wameru na wairaq wachaga wahamiaji tu wakitokea Kilimanjaro
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakaa Kigogo sijui Mbagala alafu unasema unakaa Dar.. Wanaoishi Dar ni wale waliojenga ukanda wa bahari.. Nyie wengine ni wasindikizaji tu.. Malaya sikuhizi wanakimbia hilo jiji pesa hakuna na wanaume nguvu hawana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sehemu inajaa, anayetaka kuishi vizuri ananunua na kubomoa na kujenga yake.. Tunafanya hivyo kuanzia huko Masaki mpaka AfricanaWa mkoani mnapenda kuishi kwa kukariri, huko mbezi beach, sijui masaki, palisha jaa siku hizi.
Mzee ulijuaje kama wanaume wa dar hawana nguvu za kiume😀
Na hao akina dada poa wanakimbilia wapi kwenye pesa, hebu funguka.
Unatakiwa kupimwa mkojo wewe siyo bure.Arusha walikosea sana kumchagua mbunge mwenye tuhuma za ujambazi, maana watalii wote walishasimuliana kuhusu huyu jambazi. 2020 nawashauri wachague Mbunge makini wa CCM.
[emoji15] [emoji15] hapo ni Chugga kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji109]
Inaonekana ulipofika Arusha ulifikia kambi ya fisiKambi ya fisi picha tafadhali...
Una akili za kichoko sana umekosa points za kuandika au...Arusha walikosea sana kumchagua mbunge mwenye tuhuma za ujambazi, maana watalii wote walishasimuliana kuhusu huyu jambazi. 2020 nawashauri wachague Mbunge makini wa CCM.
Ndio ndugu yangu. Napajua huko tu
Umeonyesha uzalendo kwa kuwa mkweli mkuu,bado nakumbuka ahadi yangu kwakoNdio ndugu yangu. Napajua huko tu
Tukumbushane tafadhali. NimeshasahauUmeonyesha uzalendo kwa kuwa mkweli mkuu,bado nakumbuka ahadi yangu kwako
Sent using Jamii Forums mobile app