atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,552
- 9,806
Karibu saana mkuuKwa mara ya kwanza mwaka huu nimefika Arusha nimeenjoy sana utalii wa ndani, nitarudi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu saana mkuuKwa mara ya kwanza mwaka huu nimefika Arusha nimeenjoy sana utalii wa ndani, nitarudi tena
Unafikiri ni kwa nn mkuu? Na wanaoipa arusha promo wasiipe mwanza ni kina nani hao?Arusha inasifiwa sana ila haina lolote.Ni mji wa kawaida sana.Huwezi linganisha hata na Mwanza japo haipewi promo kiivyo kama Arusha
Kwanza kabisa kimapato arusha ndio jiji la kwanza kuwekeza katika soko la hisa
Karibu sana bro.Kwa mara ya kwanza mwaka huu nimefika Arusha nimeenjoy sana utalii wa ndani, nitarudi tena
Wivu wa tandale utakuua ww chali kama vp njoo ufanye utalii wa ndani mm nitasimamia pambano,acha wivu aiseeChuga pazur Kwa hal ya hewa nzur san, x huku jikon lkn chuga n maeneo tu ndo unakuta pazur tena sehem ndogo lkn kwengine shit tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huluma [emoji117] HurumaWe jamaa nae bwana..mpaka hua unatia aibu na huluma tu yani nikionaga comment zako za ubishi wa Arusha,uwe unatembea kidogo na kukaa huko ulikotembelea upazoee then nenda mahala pengine tena ujifunze miji ikoje
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Ni kweli hilo ni tatizo kubwa sana...Msisahau na kero, kama ile ya pale mataa ya CRDB kwenda NMC/Ngalimi...ikifika jioni kina mama na wauza matunda wanageuza soko, wanaziba road nzima...muda si mrefu hata magari yatashindwa kupita zitapita bodaboda tu...baadae watajimilikisha barabara nzima magari yatafute kwa kupita.
Wenye mamlaka wametulia tuli, wanasubiri 'ajitolee' fyatu mmoja ashuke na isuzu wanguwangu...akipunguza kina mama kadhaa pale ndio utaona barabara itakavyoheshimiwa.
Ipo siku..Amri ya mkulu ndio sababu ya hiyo kero
Ila siku likifeli breki ndio nahisi akili zitawarejea
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe hivyo vigezo ,wengine hatujui cz hata mbeya nilisikiaga watu wanahoji hivyohivyoUna akili timamu..?? swali hilo unalionaje..?? Hilo swali ni baada ya kujua vigezo ndio maana nauliza wametumia kigezo kipi???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisongo habari nyingine asee we wa wapi?Na porini kule kisongo.
Kisongo habari nyingine asee we wa wapi?
Kwanza siendi popote! Pili inawezekana kisongo huijui au una muda mrefu hujafika fanya mpango uende ukaone bangaloo zilizojengwa then hiyo notion uliyonayo ya kisongo ni porini utaibadili period!Kwenda huko nan asiyepajua huko maporini? Au uwanja wa ndge uliochoka ule ndo unakupa kiburi?
We jamaa nae bwana..mpaka hua unatia aibu na huluma tu yani nikionaga comment zako za ubishi wa Arusha,uwe unatembea kidogo na kukaa huko ulikotembelea upazoee then nenda mahala pengine tena ujifunze miji ikoje
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Mara ya mwisho kutoka Arusha ni lin ww jamaa,Kisongo ya ss hivi sio ya kipindi hicho unachokijua ww,jaribu kuja utembelee tena kisha ulete feedbackKwenda huko nan asiyepajua huko maporini? Au uwanja wa ndge uliochoka ule ndo unakupa kiburi?
Mara ya mwisho kutoka Arusha ni lin ww jamaa,Kisongo ya ss hivi sio ya kipindi hicho unachokijua ww,jaribu kuja utembelee tena kisha ulete feedback
Sent using Jamii Forums mobile app