Mkuu acha upunguani basi... TANZANIA kuna vigezo vilivyowekwa na TAMISEMI ili mji kuwa manispaa, Jiji n.k.. vigezo vya kuwa jiji..
1. Idadi ya watu ifikie 500k
2. Iwe na uwezo wa kujihudumia kwa pato lake la ndani ambalo husimamiwa na jiji kwa angalau 95%
3. Vyuo vikuu vya kutosha
4. Viwanda vya kutosha
5. Huduma za kijamii hasa hospitali ya RUFAA,
6. Kuwe na Jumba la mikutano lenye kuhodhi shughuli za kimataifa kimataifa. ARUSHA HAINA HATA KIWANJA CHA NDEGE CHA KUTUA NDEGE KUBWA..
Hivyo vigezo kwa ukiangalia majiji yetu utagundua kuwa tunalazimisha sehemu kuwa jiji..
Hivyo basi GERMANY hawatumii vigezo hivyo kulipa eneo hadhi ya jiji..
Sent using
Jamii Forums mobile app