OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kukuthihirishia namna gani ulivyo soro hizo statistics zimetolewa July na ongezeko linapimwa kila mwezi zikilinganishwa na the same month last year respectively sasa unavyoongea hii loshoro yako hapa unakua unanipa wakati mgumu sana kutambua naongea na mtu wa aina gani, mambo usiyoyajua usilete upumbavu wako nimeshakuambia hujui kitu kuhusu utalii hii sector wanaielewa wadau wewe endelea kuvua dagaa huko ziwani.
Sent using Jamii Forums mobile app