Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

Company ipi hiyo? Zitakua za poaching sababu ndio wanaokula joto ya jiwe saivi, saivi mpaka makosta ya Arusha to Moshi yanabeba watalii we unasema magari yanauzwa
Toa sababu za kukua kwa talii kuliko hapo awali maana wizara ya utalii haijamilikishwa au kubinafsishwa!
 
Mimi nashangaa wale watu wanaoishi kwenye kile kijiji kikubwa halafu wao wanaita Jiji, wanejipachika a.k.a ya Green City angali kila kona Arusha ni Green...

Nimefika Mbeya ila huo u-green sijauona
Mkuu nikiwa Arusha huwa naweza kutembea kwa miguu nikiwa na mtoto mzuri kuanzia Sekei mpaka Kisongo...kwasababu hali ya hewa ni conducive isiyochosha.

Unakuta hadi mtoto mwenyewe ananiambia yanini tupande hiace bwana? mi nataka twende kwa miguu

Na hata nikifika kisongo hata chembe ya jasho sina...

ILA Dsm kutoka tu Mwenge kuingia sinza mtu unaloa na kutoka jasho kama vile ulikuwa unachochea tanuru.


LONG LIVE CHUGA.....ua blessed.
 
Arusha inasifiwa sana ila haina lolote.Ni mji wa kawaida sana.Huwezi linganisha hata na Mwanza japo haipewi promo kiivyo kama Arusha
Tanzania ina mikoa masikini, na miongoni mwa mikoa masikini zaidi ni

Kagera
Mtwara
Lindi na
Mwanza

Hiyo ni kauli ya Naibu waziri mwezi uliopita...au hukuisikia?
 
Tatizo lako ushamba wako wa tandale unataka kushare na wana A-town. Kutokuwa na watu laki tano sio hoja. Bonn ni jiji huko ujerumani na lina watu laki 3.5. Unataka kusema dar au mwanza ni bora kuliko Bonn?

Usipende kushare ushamba wako na wana arachuga. Peleke huko shamba kwenu
Hahaha...Mkuu huyu kuzi akirudi tena nampasua.
 
Company ipi hiyo? Zitakua za poaching sababu ndio wanaokula joto ya jiwe saivi, saivi mpaka makosta ya Arusha to Moshi yanabeba watalii we unasema magari yanauzwa
Hayo mengi yalikuwa yanakwepa kodi..
 
Na Sokoni one, hata Sombetini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeshatembea nchi zingine utagundua ni kawaida kwa majiji makubwa pia kuwa na sehemu congested ama slums ambazo kwa bongo zinaitwa uswahilini.

Hata RSA kuna soweto, Nairobi kuna Kibera.


Ila hiyo bado haiondoi uzuri wa Arusha.


Arusha is a blessed city.
Kumbe nawe umegundua picha ni za kijanja janja, aweke zile za arusha tuijuayo
 
Kama umeshatembea nchi zingine utagundua ni kawaida kwa majiji makubwa pia kuwa na sehemu congested ama slums ambazo kwa bongo zinautwa uswahilini.

Hata RSA kuna soweto, Nairobi kuna Kibera.


Ila hiyo bado haiondoi uzuri wa Arusha.


Arusha is a blessed city.
Mapenzi ya Arusha hayaelezeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya 90s mwanzo iliwahi kuanzishwa kampeni Arusha ya kila nyumba iwe na mti mmoja ....Jiji wajitahidi kutunza hadhi hii ya Arusha ....nimewahi kufanya kazi na mfaransa ambaye alipokwenda kuvisit ofisi ya Arusha akagoma kurudi Dar hadi wakampangia majukumu yake akiwa Arusha ....Arusha patamu sana ...
 
Msisahau na kero, kama ile ya pale mataa ya CRDB kwenda NMC/Ngalimi...ikifika jioni kina mama na wauza matunda wanageuza soko, wanaziba road nzima...muda si mrefu hata magari yatashindwa kupita zitapita bodaboda tu...baadae watajimilikisha barabara nzima magari yatafute kwa kupita.

Wenye mamlaka wametulia tuli, wanasubiri 'ajitolee' fyatu mmoja ashuke na isuzu wanguwangu...akipunguza kina mama kadhaa pale ndio utaona barabara itakavyoheshimiwa.
 
baa72ed0e20a689cd6d9ffc4135b7d4e.jpg
Sakina Tengeru dual carriageway under construction

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii picha umeipiga ukiwa hapo darajani Ilboru kwa Benson!!!!
 
Msisahau na kero, kama ile ya pale mataa ya CRDB kwenda NMC/Ngalimi...ikifika jioni kina mama na wauza matunda wanageuza soko, wanaziba road nzima...muda si mrefu hata magari yatashindwa kupita zitapita bodaboda tu...baadae watajimilikisha barabara nzima magari yatafute kwa kupita.

Wenye mamlaka wametulia tuli, wanasubiri 'ajitolee' fyatu mmoja ashuke na isuzu wanguwangu...akipunguza kadhaa utaona barabara itakavyoheshimiwa.
Amri ya mkulu ndio sababu ya hiyo kero
Ila siku likifeli breki ndio nahisi akili zitawarejea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako ushamba wako wa tandale unataka kushare na wana A-town. Kutokuwa na watu laki tano sio hoja. Bonn ni jiji huko ujerumani na lina watu laki 3.5. Unataka kusema dar au mwanza ni bora kuliko Bonn?

Usipende kushare ushamba wako na wana arachuga. Peleke huko shamba kwenu
Mkuu acha upunguani basi... TANZANIA kuna vigezo vilivyowekwa na TAMISEMI ili mji kuwa manispaa, Jiji n.k.. vigezo vya kuwa jiji..
1. Idadi ya watu ifikie 500k
2. Iwe na uwezo wa kujihudumia kwa pato lake la ndani ambalo husimamiwa na jiji kwa angalau 95%
3. Vyuo vikuu vya kutosha
4. Viwanda vya kutosha
5. Huduma za kijamii hasa hospitali ya RUFAA,
6. Kuwe na Jumba la mikutano lenye kuhodhi shughuli za kimataifa kimataifa. ARUSHA HAINA HATA KIWANJA CHA NDEGE CHA KUTUA NDEGE KUBWA..

Hivyo vigezo kwa ukiangalia majiji yetu utagundua kuwa tunalazimisha sehemu kuwa jiji..
Hivyo basi GERMANY hawatumii vigezo hivyo kulipa eneo hadhi ya jiji..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Idadi ya watu ni pungufu ya 500,000 hapo Arusha mjini.
2. Arusha haijitegemei kwa 95% kama walivyopanga TAMISEMI. maana UTALII sio ishu za LOCAL GOVERNMENT thats why TRA ndio husimamia mapato na makusanyo pia madini nk...

HILI NI JIJI UCHWARA

Sent using Jamii Forums mobile app
Una wivu wa kidemu mbona nyie mkija news za mikoa yenu ya Mbeya hatulalamiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom