Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

Kabla ya kuuliza hayo, Je mnazijua vigezo vya mji kufanywa jiji?

Kama hamzijui, fatilieni. Kama mnazijua, tuambieni moja ambayo mnadhani Arusha haijatimiza ili kuwa jiji kisha tutawajibu.

Acheni maswali mepesi.
Una akili timamu..?? swali hilo unalionaje..?? Hilo swali ni baada ya kujua vigezo ndio maana nauliza wametumia kigezo kipi???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa kimapato arusha ndio jiji la kwanza kuwekeza katika soko la hisa

1. Idadi ya watu ni pungufu ya 500,000 hapo Arusha mjini.
2. Arusha haijitegemei kwa 95% kama walivyopanga TAMISEMI. maana UTALII sio ishu za LOCAL GOVERNMENT thats why TRA ndio husimamia mapato na makusanyo pia madini nk...

HILI NI JIJI UCHWARA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Idadi ya watu ni pungufu ya 500,000 hapo Arusha mjini.
2. Arusha haijitegemei kwa 95% kama walivyopanga TAMISEMI. maana UTALII sio ishu za LOCAL GOVERNMENT thats why TRA ndio husimamia mapato na makusanyo pia madini nk...

HILI NI JIJI UCHWARA

Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu wa kike utakuua Arusha sio level yako peleka ufukara wako huko.
 
1. Idadi ya watu ni pungufu ya 500,000 hapo Arusha mjini.
2. Arusha haijitegemei kwa 95% kama walivyopanga TAMISEMI. maana UTALII sio ishu za LOCAL GOVERNMENT thats why TRA ndio husimamia mapato na makusanyo pia madini nk...

HILI NI JIJI UCHWARA

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako unadhani Arusha ni level ya majiji mengine ya Tz...

FYI, Arusha ni level ya Ulaya
 
1. Idadi ya watu ni pungufu ya 500,000 hapo Arusha mjini.
2. Arusha haijitegemei kwa 95% kama walivyopanga TAMISEMI. maana UTALII sio ishu za LOCAL GOVERNMENT thats why TRA ndio husimamia mapato na makusanyo pia madini nk...

HILI NI JIJI UCHWARA

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako ushamba wako wa tandale unataka kushare na wana A-town. Kutokuwa na watu laki tano sio hoja. Bonn ni jiji huko ujerumani na lina watu laki 3.5. Unataka kusema dar au mwanza ni bora kuliko Bonn?

Usipende kushare ushamba wako na wana arachuga. Peleke huko shamba kwenu
 
Arusha inasifiwa sana ila haina lolote.Ni mji wa kawaida sana.Huwezi linganisha hata na Mwanza japo haipewi promo kiivyo kama Arusha
Mwanza level yake ni Mbeya, Arusha ni level zingine
IMG_20170807_094937.JPG
 
Tatizo lako ushamba wako wa tandale unataka kushare na wana A-town. Kutokuwa na watu laki tano sio hoja. Bonn ni jiji huko ujerumani na lina watu laki 3.5. Unataka kusema dar au mwanza ni bora kuliko Bonn?

Usipende kushare ushamba wako na wana arachuga. Peleke huko shamba kwenu
Bro TANDALE IMEFANYA NIN MPAKA UITAJE, AU UNAONA TANDALE NDO WANATOKA WASHAMBA ENNH, KAMA NDO HIVYO HAYA TANDALE IPO KINO NDAN YA BONGO DALSALAAM TUPE YAKO KULE KISHMUNDU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom