Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

Aise arusha pako kisenge sana, ni mpumbavu pekee atasifia ujinga, nimekaa miezi mitatu hakuna cha maana zaidi ya promo za kiwendawazimu.
Karibuni Mwanza
Jiji tamu,
Sangara kwa wing,
The second city in the country for each aspect,
The blessed city, no one can curse,
Watu Wa Arusha mjiheshimu sometimes muwe mnatembea mjifunze wenzenu wanafanya nini. Pumbavu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza nimeishi sana na huwezi fanaisha na Arusha. Arusha ni level nyingine Africa Mashariki hilo liko wazi peleka ushamba wako usukumani.
 
0e4a6c60a475cc566c7cc84ba1cc16c5.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni ugomvi usiokuwa na maana..
Ukweli ni kuwa kati ya Arusha na Mwanza; Arusha isubiri kwanza barabara zake zikamilike.. stendi ziamishwe ndo ije ijipime
 
Mwanza level yake ni Mbeya, Arusha ni level zingine View attachment 560930

Arusha ni mji mzuri kuliko wowote Tanzania

nimetembelea baadhi ya mikoa nakuona watu tunaotokea A town tunaheshimika sana yani wenyeji wanakua nakauoga flani ivi

Sent using Jamii Forums mobile app

jengeni vyoo kwanza muache kunya ziwani ndio mje kujilinganisha na arusha,,,idiot..!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwanza nimeishi sana na huwezi fanaisha na Arusha. Arusha ni level nyingine Africa Mashariki hilo liko wazi peleka ushamba wako usukumani.

Kumbe siku hizi Mwanza inafananishwa na vitu vya kipumbavu hvi....!!!
21040914_266454653843745_4751716757029257216_n.jpg.jpg
 
Tatizo hapa kuna wapitaji wanaotokea mashariki na kuishia stendi au wanaotokea magharibi na kuishia ngarenaro. Na wengine wameishia kuiona Arusha kwenye Googlemap au TV.
Arusha kwa makazi binafsi imejengwa sana may be dar tu ndii inaipita. Investment wise Arusha ni second baada ya Dar.
Mwanza imeipita tu Arusha kwa population tena ya aina moja wakati Arusha n metropolitant city. Kila kabla, dini, taifa utaikuta Arusha. Kwa hali ya hewa, Arusha ni fresh na baridi. Tatizo la Arusha ni maeneo ya biashara, ofisi na makazi ya low class hazikupangwa vizuri kama mji mingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni fresh na baridi lakini lile vumbi jepes la kiangazi mbona huliongelei???!!,, Na zile nyumba za udongo na madirisha ya vioo??,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
img_20170808_141935_446-jpg.561143
View attachment 560874 Kwa mara ya kwanza jiji la arusha limerikodi ongezeko kubwa la idadi ya watalii nchini tofauti na vipindi vilivyopita
View attachment 560875
Ambapo mpaka sasa imerikodi watalii zaidi ya millions 2.3 ikiwa ni ongezeko la 47% huku kampuni za kitalii expeditions zikiongezeka kwa 31% hali inayotafsiriwa kama kiashiria kizuri cha sector hiyo nchini. View attachment 560876View attachment 560877
270d97de8f23109787687b816ebb5e97.jpg
nyiye watu wa Arusha mimi mnanichanganya sasa.

ukikutana na wenye kampuni za tours wanakwambia biashara yao imeathirika kutokana na watalii kupungua.
kuna drivers kibao wa shuttle za kwenda KIA wanalalamika hadi kulaani kupitiliza!

watu wa Arusha mnatuchanganya bana!!
 
Sasa nyie watu wa Arusha mna tulet down bana,, mnatumia nguvu nyingi mno kuonyesha kuwa arusha pazuri,, yani huu uzi ulitakiwa ujae mapicha na sio vijembe,,, acheni picha na videos ziongee na sio maneno,, mwisho wa siku hata anayebisha atatulia tu,, jifunzeni kule kwenye uzi wa mwanza,, umejaa picha kibao,, tunataka ushahidi, ilu muongeze watalii wa ndani,, mkono mtupu haulambwi!, Over!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom