Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

Inapendeza kwa kweli miji yetu inavyoonekana kwa sasa.ILa mkuu hizi twakimu za watalii milioni mbili na laki tatu ni za lini?
 
Mkuu nikiwa Arusha huwa naweza kutembea kwa miguu nikiwa na mtoto mzuri kuanzia Sekei mpaka Kisongo...kwasababu hali ya hewa ni conducive isiyochosha.

Unakuta hadi mtoto mwenyewe ananiambia yanini tupande hiace bwana? mi nataka twende kwa miguu

Na hata nikifika kisongo hata chembe ya jasho sina...

ILA Dsm kutoka tu Mwenge kuingia sinza mtu unaloa na kutoka jasho kama vile ulikuwa unachochea tanuru.


LONG LIVE CHUGA.....ua blessed.
dsm atanikikaa kwenye kibasi naenda town lazma jasho linitokee (sijui kwasababu nlikuwa sija pazoea) ata wakati wa kulala bila kuwasha feni usingizi sipati,nikulowa jasho tu,sijui kama ntaweza kuishi mkoa mwingine zaidi ya Arusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar ni mji wa washenzi tu.. Mimi siwezi kwenda Dar na flight ya asubuhi au mchana.. Napakia ile daladala ya FastJet ya mwisho naingia usiku at least foleni na joto vimepungua.. Na nikifika sikai ushenzini na wala situmii barabara za washenzi sijui Morogoro road, sijui Mandela Road... kuondoka ni saa 11 niwahi flight ya kwanza.. Huwa nawashangaa sana vijana wanaotafuta maisha Dar..

Hivi unaendaje kwenye starehe unakutana na foleni na joto jingi? Si unalewa hata kabla ya kufika Bar, no wonder mpaka serikali inakimbia huyo mji

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee..we mshenzy hiyo ID plus Avatar na uliyo yaandika hapa...mnaendana sana! eti barabara ya washenzy hahahah!
 
Insta-image.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom