Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

tengeru-sakina road
IMG_20170910_182314.jpg
IMG_20170910_182304.jpg
IMG_20170910_181902.jpg
IMG_20170910_181702.jpg
IMG_20170910_181641.jpg
IMG_20170910_181521.jpg
IMG_20170910_181252.jpg
IMG_20170910_181103.jpg
IMG_20170910_181058.jpg
IMG_20170910_174940.jpg
IMG_20170910_174234.jpg
IMG_20170910_174356.jpg
IMG_20170910_181149.jpg
IMG_20170910_174645.jpg
 
KITU NACHO PENDEA ARUSHA NI KUWA WALE DADA ZETU WA HUDUMA PENDWA WANAPATIKANA MDA WOTE TUU YAANI HATA ASUBUI UNAKUTANA NAE MGAHAWANI UNAONGEA NAE ANAKUBALI BASI MNAENDA KUUZIMA CHAGA ZA KITANDA !!!!!!!!
 
Sasa nyie watu wa Arusha mna tulet down bana,, mnatumia nguvu nyingi mno kuonyesha kuwa arusha pazuri,, yani huu uzi ulitakiwa ujae mapicha na sio vijembe,,, acheni picha na videos ziongee na sio maneno,, mwisho wa siku hata anayebisha atatulia tu,, jifunzeni kule kwenye uzi wa mwanza,, umejaa picha kibao,, tunataka ushahidi, ilu muongeze watalii wa ndani,, mkono mtupu haulambwi!, Over!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu nachojua huwezi kuwashinda kuongea hao wanaweza kuongea hadi kesho ila arusha na mwanza .mwanza iko mbele sema wajitahidi tu wataifikia
 
img_20170808_141935_446-jpg.561143
View attachment 560874 Kwa mara ya kwanza jiji la arusha limerikodi ongezeko kubwa la idadi ya watalii nchini tofauti na vipindi vilivyopita
View attachment 560875
Ambapo mpaka sasa imerikodi watalii zaidi ya millions 2.3 ikiwa ni ongezeko la 47% huku kampuni za kitalii expeditions zikiongezeka kwa 31% hali inayotafsiriwa kama kiashiria kizuri cha sector hiyo nchini. View attachment 560876View attachment 560877
270d97de8f23109787687b816ebb5e97.jpg
Mkuu, watalii zaidi ya millions 2.3 ikiwa ni ongezeko la 47% kwa Arusha pekee !!! Ilhali nchi nzima jumla ya watalii kwa mwaka ni 1.2 milions !!!.
 
Back
Top Bottom