Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

feb74e8febb64b5f80eb8c807c1b22a5.jpg
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sa hapa si n baiskel tyu nmetyuma hii picha maana huu mji hauna aerial view
 
Aise arusha pako kisenge sana, ni mpumbavu pekee atasifia ujinga, nimekaa miezi mitatu hakuna cha maana zaidi ya promo za kiwendawazimu.
Karibuni Mwanza
Jiji tamu,
Sangara kwa wing,
The second city in the country for each aspect,
The blessed city, no one can curse,
Watu Wa Arusha mjiheshimu sometimes muwe mnatembea mjifunze wenzenu wanafanya nini. Pumbavu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi we utakua umelizwa na Malaya wa shivaz wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oya ivi barabara kutoka tengeru hadi sakina imeshaisha?

huwezi linganisha chuga na sehemu za kipuuzi. chuga ni level nyingine
 
I'll

Mkuu, barabara ni almost imekamilika....wanamalizia service road ..

Ujenzi wa East Africa Road(Arusha Bypass) nao umeanza kwa kasi ya ajabu...
 
Aise arusha pako kisenge sana, ni mpumbavu pekee atasifia ujinga, nimekaa miezi mitatu hakuna cha maana zaidi ya promo za kiwendawazimu.
Karibuni Mwanza
Jiji tamu,
Sangara kwa wing,
The second city in the country for each aspect,
The blessed city, no one can curse,
Watu Wa Arusha mjiheshimu sometimes muwe mnatembea mjifunze wenzenu wanafanya nini. Pumbavu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani we ndio chizi
Hujatoa sababu Kwa nini Arusha hamna cha maana .zaidi zaidi umeishia kutukana ,kuku wewe!!
 
Aise arusha pako kisenge sana, ni mpumbavu pekee atasifia ujinga, nimekaa miezi mitatu hakuna cha maana zaidi ya promo za kiwendawazimu.
Karibuni Mwanza
Jiji tamu,
Sangara kwa wing,
The second city in the country for each aspect,
The blessed city, no one can curse,
Watu Wa Arusha mjiheshimu sometimes muwe mnatembea mjifunze wenzenu wanafanya nini. Pumbavu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
jengeni vyoo kwanza muache kunya ziwani ndio mje kujilinganisha na arusha,,,idiot..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah hii itakuwa njema...maana yake ukifika USA unaweza ingia town kwa kuchepukia kipande hiyo...
Mkuu kazi inaendelea kwa speed ya mwanga kazi kubwa imeelekezwa arusha bypass kwanzia sakina - Kisongo - Njiro - USA River inapita nyuma ya jiji barabara mpya kabisa
 
Back
Top Bottom