Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

Insta-image.jpg
Insta-image-3.jpg
Insta-image-2.jpg
 
Nafikiri hii teknolojia ya Sim za intanet kwa wa bongo iliwahi sana, ingecheleweshwa kidogo, ili walau watu wa we wamestaarabika. Ushindani wa kipuuzi, comments mbovu,hatuna heshma kwa viongozi wetu, why???
 
Cha ajabu Ma co. Ya tours mengine yanauza Magari yao kwa kukosa kazi,Ma dereva wanalalamika watalii ni wachache sana.

Arusha ya sasa hivi sio ile iliyozoeleka aisee,kipindi kile watalii wa kutosha na pesa ilikua inaonekana sana.

Supply ya madereva ni kubwa, mpaka graduates wahasibu wameenda soma tour guiding, kuna ulimbukeni wa ki Tanzania wa kukimbilia fani ndiyo waleta changamoto
 
Tanzania ina mikoa masikini, na miongoni mwa mikoa masikini zaidi ni

Kagera
Mtwara
Lindi na
Mwanza

Hiyo ni kauli ya Naibu waziri mwezi uliopita...au hukuisikia?
Mwanza region isn't Mwanza city
 
Back
Top Bottom