Jifunze Kinyakyusa hapa

Tu na nku!! Ikawa mpambandano! Akankoma nnine pandumbula na tuh! pasi...po atie fiki gwe ukunkoma nnino pandumbula popapo anakufa!!

Atie ana mahelu fijho ujhu nasikitika pia ulu amekunya mafi pa kibhusu cha mimi pembeni...

Jo une Ifilombe fimekanikifwe palikimokyene kutoka seghela
Yaani dah
 
Ntu na ntuu ikawa mpamandano akankoma nnine pandumbula natuuu! pasi...nini atie nasikitika kwa ku*ya m*fi pa kibhusu cha mimi pembeeni.
 
Kinyakyusa kuongea rahisi.... shughuli kusoma sasa....

1633982088321.png
 
Hivi Wanyakyusa wana herufi "r" katika lugha yao? Nadhani ni "bule bule" na sio "bure bure"

Nakumbuka walikuwa wanamwita Nyerere "Nyelele"

"Nyelele kaleta uhulu sasa hatunywi kyai kya langi tunaweka masiwa""
Hii ni bhulebhulee... Sio burebure ila maana yake sijui
 
Back
Top Bottom