Jifunze Kinyakyusa hapa

Emery Paper

Emery Paper

JF-Expert Member
1,414
2,000
Habari za wakati huu wadau!
Natambua uwepo wa watu wenye asili ya kabila maarufu pale mkoani mbeya yaani Wanyakyusa.

Kutokana na mihangaiko ya maisha wengi wetu tumejikuta tumekosa fursa ya kuishi mkoa wa mbeya au katika mazingira ambayo pengine yametufanya kushindwa kuweza kuizungumza lugha yetu hii ya asili na adimu sana.

Ukiwa kama mdau wa lugha hii, unaweza kutusaidia ambao hatujapata bahati wa kuifahamu kwa kutuandikia hapa baadhi ya maneno na maana zake.

Pia, kwa yule anayetamani kujua hii lugha ataweza kuuliza anachotamani kukijua na wadau wataweza kuwajibu hapa.

Nawakaribisha sana ndugu zangu.
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
6,641
2,000
Nyangusage ni zambi zako mwenyewe ehh viazi mbeya mnyakyusa haongwi chipsi
 

Forum statistics


Threads
1,424,986

Messages
35,078,036

Members
538,184
Top Bottom