donor

  1. MSONGA The Consultant

    What Motivates Donor to Support Your Nonprofit ?

    Motivations for donors vary as widely as there are donors. As you begin to develop your appeals, you’ll want to understand why donors give so you can craft an appeal that speaks to the primary motivations of your donor audience. Who Donates? Before proceeding to know what motivates a donor to...
  2. Bemendazole

    Ndoto ya Hayati Magufuli imetimia. Sasa Tanzania ni Donor Country

    Japo Hayati Magufuli aliwahi kuniudhi kwenye maeneo fulani, lakini leo nimefurahi kwa kuwa Tanzania imefanikiwa kuwa a Donor Country. Haya yalikuwa ni maono yake kuiwezesha nchi yetu kuwa msaada kwa wengine. Sasa tunaona tukiisaidia Uturuki, Malawi n.k. Mungu baba wa Mbinguni amuhurumie mja...
  3. S

    Donor countries hawaanzi na sala na dua katika shughuli za kiserikali lakini watumishi wake ni waadilifu sana. Hapa Tanzania sasa!!

    Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasababu tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni. Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na...
  4. Jamii Opportunities

    Donor Relations Officer at School of St Jude May, 2022

    Donor Relations Officer ARE YOU AN EXPERT IN COMMUNICATIONS? CAN YOU BUILD POSITIVE AND IMPACTFUL RELATIONSHIPS WITH AN INTERNATIONAL AUDIENCE? COME WORK AT THE SCHOOL OF ST JUDE! Want to work for one of the largest charities of its kind in Africa? Are you passionate about communicating with...
  5. Artifact Collector

    Donor countries and organizations, iangalieni kwa umakini kauli ya Magufuli kwamba hatapeleka maendeleo kwenye Majimbo ya Wapinzani

    Donor countries and organization mnatoa hela za maendeleo, lakin mnayempa hizo hela ameapa atazipeleka kwa watu ambao hawajamchagua, huo ni ubaguzi wa wazi wazi. Ni vizuri mkaifanyia kazi kauli yake na kabla hamjampa hizo hela za maendeleo awahakikishie atawabagua wananchi.
  6. Emery Paper

    Jifunze Kinyakyusa hapa

    Habari za wakati huu wadau! Natambua uwepo wa watu wenye asili ya kabila maarufu pale mkoani mbeya yaani Wanyakyusa. Kutokana na mihangaiko ya maisha wengi wetu tumejikuta tumekosa fursa ya kuishi mkoa wa mbeya au katika mazingira ambayo pengine yametufanya kushindwa kuweza kuizungumza lugha...
Back
Top Bottom