klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Mimi niliuliza masuala yangu kwenye post no. 307 lakini hayakujibiwa kabisa (nitareport hili kwa PAW vere soon).
Halaf mnaombwa kuisubiria post yangu ijayo kama movie ya avatar vile, cuz itakuwa imebeba ujumbe muhim sana.
Usikose,
kama hauna laptop wahi cafe haraka.
ahsanteni sana.
Ni mimi Lawyer wa JF.
His majesty klorokwini