Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Hapa kweli kazi ipo!!! Ngoja nishibe kwanza.... Oh! Nipate na morning glory (wote tukiwa driving seat with the windows open) Maana siibi na ni mali yangu and EVERYBODY knows that...

Za asubuhi wapendwa... Naomba tustik kwenye kueleweshana... Sio kubisha for the sake of kubisha ili kuonekana mshindi - take note wahusika wooote frm the hubby the wife to nyumba ndogo; WOTE wapo ktk a win-lose situation... Tuface ukweli na kuwa wastaarabu... mmmmh! Am about to c'm...

Will be back after a great lay...

ukizingatia ulivyokuwa rattled jana,thats the best therapy,have a nice day.
 
Nalia kwa kucheka jamani uwiiii nilikuwa wapi nikapitwa na hii thread hahahaaaa............Aspirin ni kweli kabisa mm research yangu ndogo niliyofanya ndoa nyingi zinazoendelea ni kwamba wanawake wana cheat na tena wanajisifia kabisa kuwa bila hivyo ndoa yake ingevunjika!!!! Inasikitisha sana kwakweli, RussianR tukubali tukatae lakini kuna ukweli mwingine hatuwezi kuukwepa. Cha msingi ni kuwa wote tubadilike lakini hao wanaume wanafanya na kina nani kama sio sisi wanawake??!!!! And YES 99% ya wanaume wana cheat. Kama haijakukumbuka mshukuru Mungu sana tena upige magoti kila siku ndugu yangu maana mimi nilikua ni paralyze kwa mshtuko wa kujua mume wangu ana cheat,siku zote nilimuamini na wala mtu angekuja kuniambia kitu nisingeamini lakini kilichotokea mmhhh..................niishie hapa.
Kama nilivyoahidi, leo kazi yangu ni kugonga vi-LIKES tu.......... Nenda kakague kama huamini.

Afu unambie Tuli hajambo? Na baba yake? Najua ameshakucheat lakini we endelea kumpenda kwa kuwa kucheat kwa wanaume ni sawa na Maji kufuata mkondo!
 
kbd mbona unatushikia bango wanaume? wake za watu kibao mbona wanalambwa tena wengine na vidampa tu,unakuta kisakapoko hakina mbele wala nyuma kimevimba kwenye prado ya mkeo tena uliyojikunja ukamnunulia kwa mkopo mbona sisi hatulalamiki we just take it in our stride? tusioneane bana sisi sote ni wadhambi na ndo maana kwa wakristo kuna kitubio.

Bishanga, Asprin mpo? Mi leo mtazamaji na mashangiliaji tu, naona wachezaji leo wameongezeka, Mtakuwa mnanipa matokeo,plz
 
Mnatulaumu sisi nyumba ndogo ambao hatuna waume, hamjui kwamba asilimia kubwa ya wake za watu wanatoka nje ya nyumba zao kuja kunyang'anyana na sie tusio na waume? hamshangai walioolewa humu ni wengi ila wanaopinga ni wawili tu? Wengine mbona wako kimya ndio kusema hawana wivu? wanajua wanachokifanya.

Mimi kubishana ndio nimeishia hapa kwani wengi wetu hapa hatuzungumzii maisha halisi tena tunaona aibu hata kwenye keyboard tu ambapo ninaandika na hakuna anaenijua, je huko tunakojulikana.
Mimi bwana..........Mimi kazi yangu ni kugonga tu! kashuhudie kule.

Hapa kibaruani kuna wadada wawili nadhani watakuwa waimba kwaya au watumishi kanisani kwa jinsi wanavuoonekana nadhifu na wenye heshima. Lakini wanavyotafunwa na madereva, huwezi amini! Ndio, ni wake za watu hawa! Na waume zao wanawaleta kazini na kuwafuata jioni.

Ndo maana ODM nlishajiapizaga.......... Sitakanyaga ofisini kwa wife wala kuhudhuria shughuli yoyote inayoandaliwa na kampuni yao ambayo itahitaji spouses kuhudhuria........... Nani anapendwa kung'ongwa?

Tukutane nyumbani, tumalizane nyumbani.

Baada ya kusema hayo, ODM anarudi kitandani kuiombea Tanzania ishushe angalau bei ya sukari, kama kushusha bei ya petroli haikubaliki kama malaria.
 
Bishanga, Asprin mpo? Mi leo mtazamaji na mashangiliaji tu, naona wachezaji leo wameongezeka, Mtakuwa mnanipa matokeo,plz
Kale kabatani kamepotea. Kakirudi ntakugongea.

Mpaka sasa Maisha halisi yanaongoza kwa bao tatu dhidi ya moja la Maisha ya kusadikika

Wafungaji wa Maisha halisi ni Wewe, Darlington na Sarafina1 wakati lile la kufutia machozi la Maisha ya kusadikika limefungwa kwa Penalti na AshaDii shemeji yangu.

Mpira bado unaendelea na dakika zilizobakia ni tatu.

Baada ya kusema hayo, naomba nikusalimu na kukuomba urafiki.
 
kwani Dini zinasemaje? Anaefurahi jamii iparaganyike watoto waishi kwa shida mitaani, wazinzi na waishearati ni kina nani? Hao ni mashetani.

Muogope Mungu wako kamwe usiniogope mm. Period.

Mpatanishi,embu nipe tofauti ya 'adultery' na 'fornication'? kuna mahali kwenye maandiko au katika sheria za nchi fornication imekatazwa? kwa taarifa yako anayetoka nje ya ndoa ndo anacommit adultery (amri ya sita usizini kwa wakristo ie), nyumba ndogo so long as sio muolewa akitembea na mmeo kwake yeye hiyo ni fornication,umenipata dear?
na kwa nini tunaingiza watoto wa mtaani kwenye mjadala huu,inahusu kweli? nenda wizara ya Sofia Simba kasome,ziko research kibao kuhusu watoto wa mtaani na cause zake,utashangaa la uzinzi halimo,it has a lot to do with poverty. Nenda mtaa wa samora uniletee mtoto mmoja wa mtaani ambaye baba/mama yake wanaishi masaki.
I rest my case nisije nikamchokonoa AshaDii bure wakati jana tumemaliza ugomvi.
 
Bishanga, Asprin mpo? Mi leo mtazamaji na mashangiliaji tu, naona wachezaji leo wameongezeka, Mtakuwa mnanipa matokeo,plz

we acha tu,mi mwenyewe jana niliamua nisichangie tena uzi huu lakini uzalendo umenishinda,acha nikomae nao.
 
bila shaka kuna sababu kwa nini wanaume huwa na nyumba ndogo! kule ni mahala pa tulizo baada ya wanaume kuchoshwa na wake zao hivyo basi wanawake wanapaswa kuwapa wanaume mapenzi ya kweli ili wanaume waepukane na kutafuta substitute! mimi nadhani mwanamke mwelevu hujenga ndoa yake ila yule mjinga huibomoa kwa mikono yake! mimi nadhani tutafiti kwa kina kwamba kwa nini kuna nyumba ndogo? kipi kinapatikana nyumba ndogo na hakipatikani nyumba kubwa?

Hapo pa blue.. na wanaume wawape nini wanawake? Je nyie mwataka kupewa tu? Efeso 5:24 -Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake; .

Efeso 5:27 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.
 
kwani Dini zinasemaje? Anaefurahi jamii iparaganyike watoto waishi kwa shida mitaani, wazinzi na waishearati ni kina nani? Hao ni mashetani.

Muogope Mungu wako kamwe usiniogope mm. Period.

Hujui ulitendalo endelea kukua, akiwazacho mtu ndicho akifanyacho. Ona hiyo avatar yako inaonyesha we ni mtu wa aina gani halafu unazungumzia kumuogopa Mungu hapa hebu watu tuache unafiki jamani.

avatar47287_1.gif
 
Mpatanishi,embu nipe tofauti ya 'adultery' na 'fornication'? kuna mahali kwenye maandiko au katika sheria za nchi fornication imekatazwa? kwa taarifa yako anayetoka nje ya ndoa ndo anacommit adultery (amri ya sita usizini kwa wakristo ie), nyumba ndogo so long as sio muolewa akitembea na mmeo kwake yeye hiyo ni fornication,umenipata dear?
na kwa nini tunaingiza watoto wa mtaani kwenye mjadala huu,inahusu kweli? nenda wizara ya Sofia Simba kasome,ziko research kibao kuhusu watoto wa mtaani na cause zake,utashangaa la uzinzi halimo,it has a lot to do with poverty. Nenda mtaa wa samora uniletee mtoto mmoja wa mtaani ambaye baba/mama yake wanaishi masaki.
I rest my case nisije nikamchokonoa AshaDii bure wakati jana tumemaliza ugomvi.

Ndio maana nasema watu hawazungumzii maisha halisi, watoto wa mtaani wengi ni umaskini tu na unakuta huyo omba omba bado anaendelea kuzaa bila kujali hana mume wala hana kazi. Wazazi wangapi wameachana na watoto wanaishi maisha mazuri? Chanzo cha watoto kuwa wa mtaani si nyumba ndogo ni wazazi wenyewe kuzaa watoto ambao hawana uwezo wa kuwatunza.

Hebu tuache kufikiria kuachana kisa nyumba ndogo, wazazi mnapoamua kuzaa lazima mfikirie pia kuna kufa so lazima wakati unazaa ujue yote hayo kama mume akikuacha tu watoto wanakua wa mtaani, je akifa si ndio unaweza kuwala nyama?
 
Kuna watu wengine wamemfanya Mungu kama mjomba wao..........

Wanasema uzinzi dhambi wanasahau hata kusema uongo tu ni dhambi sawa na uzinzi.
Kwangu mie ni heri nifanye dhambi ya uzinzi (si nnafaidi bana) kuliko kusema uongo afu tukapata adhabu sawa jehanamu huko.
Kutamani nako ni dhambi....kwanini utamani upate dhambi badala ya kufaidi kabisa ili kieleweke?

Baada ya kusema hayo, ngoja nirudi kitandani kutafakari dhambi gani iliyo kubwa kati ya uzinzi na uasherati
 
Sarafina,sina la kuongeza,umemaliza kila kitu.Watu wasitake kuingiza kwenye mjadala huu mambo yasiyokuwemo.
AshaDii kasema tuache ubishi tu focus kwenye mjadala ambao theme yake ni small house.
 
Mpatanishi,embu nipe tofauti ya 'adultery' na 'fornication'? kuna mahali kwenye maandiko au katika sheria za nchi fornication imekatazwa? kwa taarifa yako anayetoka nje ya ndoa ndo anacommit adultery (amri ya sita usizini kwa wakristo ie), nyumba ndogo so long as sio muolewa akitembea na mmeo kwake yeye hiyo ni fornication,umenipata dear?
na kwa nini tunaingiza watoto wa mtaani kwenye mjadala huu,inahusu kweli? nenda wizara ya Sofia Simba kasome,ziko research kibao kuhusu watoto wa mtaani na cause zake,utashangaa la uzinzi halimo,it has a lot to do with poverty. Nenda mtaa wa samora uniletee mtoto mmoja wa mtaani ambaye baba/mama yake wanaishi masaki.
I rest my case nisije nikamchokonoa AshaDii bure wakati jana tumemaliza ugomvi.

Bishanga unatumia kinywaji gani?... Ngoja nikuitie weita, Bili kwangu

Inabidi watu waache unafiki na kufuchaficha mambo tuyaweke hadharani ili ufumbuzi upatikane...

Kuna watu wana miaka 60+ watoto wao wamemaliza chuo wana kazi lakini mzee anamiliki nyumba ndogo
Hebu niambie hawa nao wataitwa wa mtaani

Ni ndoa ngapi watu wanaishi kama masanamu tu... baba ana chumba chake na mama ana chumba chake hata kwa miaka 10, utasema ni nyumba ndogo? Tuweni wakweli
 
Punguza jazba....

Ukishasema mtu "kakubali" ina maana haoni tatizo... labda ndio maisha aliyoamua kuishi... na je? unajuaje kama yeye ndo anawachezea hao vidume.... "Why keep a cow if you only need a single sausage"

Sitambi mpatanishi, naeleza ukweli... Ni kitu ambacho kipo, kinafanyika na kitaendelea kuwepo... as long as wanaume na wanawake wanaishi... labda dunia iangamie...

Nakutakia kila la kheri kwenye kampaign zako... ila kumbuka wao ndo wanajiiba wenyewe...
They have time and resources za kujenga hizo nyumba.... we are just being cooperative...lol

Sasa ndo nakushauri kabla hujaenda kujenga hako kajumba kako kadogo (siku ukioa), uangalie kwanza hiyo nyumba unajenga masaki au manzese... ina facilities gani, n.k - "Changanya na za kwako"

Darlingtone sio kama nina jazba hapana ila kukwambia ile ukweli kutoka moyoni mwangu sifurahii kuona huu UOVU unatetewa hapa.Huku wewe ukiwa front line as nyumba ndogo/mwizi.

Elewa pia kwamba matatizo mengi yanayoisibu jamii yetu yanaletwa na sisi wenyewe kutaka kurahisisha mambo kwa hoja nyepesi nyepesi kama mnazotoa hapa mf. Kuna aliesema hapa eti wanaume ni wanyama so wanatabia zile zile i.e kwa kuwa tu wanyama wana majike mengi so tuhalalishe huu huu uovu.

Nakuuliza ww sasa je kwakua beberu ana ana mpanda mama yake je turuhusu na sisi binadamu tutembee na mama zetu kwa vile nasi ni same na wanyama?

Darlingtone unachotenda na huyo mume wa mtu ni UOVU wala hupaswi kuja hapa na kuanza kuunadi kwa hoja zako nyepesi nyepesi ni kuikosea heshima jamii na Mungu kwa ujumla.

Umesema nyumba ndogo haziwez kwisha kwa kuwa tu wanaume wapo na wanaishi.
Hoja hiyo ni sawa tu na wale wanaosema jamii iukubali ushoga kwa kuwa tu kuna viumbe hawana hatia yani wanazaliwa na hormones nyingi za kike.

Nakubali kwamba hilo la nyumba ndogo lipo bt na ww ukubalh kwamba ni tatizo na hatuwez kuli support hadi kufikia ww kusema kwamba unaona fair tu na hujutii kuwa nyumba ndogo.
Darlingtone achana na hawa vidume wanaotetea hapa na wala wala wasiku encourage hadi ww kutuambia bila haya kwamba hujutii kuiba mume wa mtu.
Nakuombea na ww upate Mume akuoe na uzae watoto then cku ukisikia mumeo ana nyumba ndogo nje sidhani kama utakuja na katuli kama hizi ulizotoa hapa kwenye hii thread.
 
Kuna watu wengine wamemfanya Mungu kama mjomba wao..........

Wanasema uzinzi dhambi wanasahau hata kusema uongo tu ni dhambi sawa na uzinzi.
Kwangu mie ni heri nifanye dhambi ya uzinzi (si nnafaidi bana) kuliko kusema uongo afu tukapata adhabu sawa jehanamu huko.
Kutamani nako ni dhambi....kwanini utamani upate dhambi badala ya kufaidi kabisa ili kieleweke?

Baada ya kusema hayo, ngoja nirudi kitandani kutafakari dhambi gani iliyo kubwa kati ya uzinzi na uasherati

Hakuna dhambi kubwa wala ndogo mbele za Mungu babu yangu...
Wewe unazini, inawezekana yeye anavunja na kuiba mali za watu usiku, au ni mchawi

Kipimo anachotumia kuhukumu watu humu ndani ndo hicho kitatumika kumuhukumu yeye

Mungu pekee ndo anaweza kuwa hakimu wa matendo ya mtu...
 
Darlingtone sio kama nina jazba hapana ila kukwambia ile ukweli kutoka moyoni mwangu sifurahii kuona huu UOVU unatetewa hapa.Huku wewe ukiwa front line as nyumba ndogo/mwizi.

Elewa pia kwamba matatizo mengi yanayoisibu jamii yetu yanaletwa na sisi wenyewe kutaka kurahisisha mambo kwa hoja nyepesi nyepesi kama mnazotoa hapa mf. Kuna aliesema hapa eti wanaume ni wanyama so wanatabia zile zile i.e kwa kuwa tu wanyama wana majike mengi so tuhalalishe huu huu uovu.

Nakuuliza ww sasa je kwakua beberu ana ana mpanda mama yake je turuhusu na sisi binadamu tutembee na mama zetu kwa vile nasi ni same na wanyama?

Darlingtone unachotenda na huyo mume wa mtu ni UOVU wala hupaswi kuja hapa na kuanza kuunadi kwa hoja zako nyepesi nyepesi ni kuikosea heshima jamii na Mungu kwa ujumla.

Umesema nyumba ndogo haziwez kwisha kwa kuwa tu wanaume wapo na wanaishi.
Hoja hiyo ni sawa tu na wale wanaosema jamii iukubali ushoga kwa kuwa tu kuna viumbe hawana hatia yani wanazaliwa na hormones nyingi za kike.

Nakubali kwamba hilo la nyumba ndogo lipo bt na ww ukubalh kwamba ni tatizo na hatuwez kuli support hadi kufikia ww kusema kwamba unaona fair tu na hujutii kuwa nyumba ndogo.
Darlingtone achana na hawa vidume wanaotetea hapa na wala wala wasiku encourage hadi ww kutuambia bila haya kwamba hujutii kuiba mume wa mtu. Nakuombea na ww upate Mume akuoe na uzae watoto then cku ukisikia mumeo ana nyumba ndogo nje sidhani kama utakuja na katuli kama hizi ulizotoa hapa kwenye hii thread.

Sijui unatumia kipimo gani kuona uovu wa wenzako.... Ovu kwako, kwangu ni jema tu... na kumbuka sifanyi peke yangu, huyo ninayeshiriki naye

Nimekwambia binadamu hawezi kuibwa unless ni mtoto mchanga... lakini baba wa miaka lukuki, sio rahisi... anakuwa amefanya maamuzi mwenyewe

Kuna makabila na mataifa ndani ya hii hii Africa yetu watu wanalala na mama zao, baba zao na watoto zao (mf. Zambia), so ukishangaa ya Musa....

And... Mpatanishi... Hizo sala zako naona ujiombee mwenyewe kwanza, upate mke uoe, uzae hao watoto 'afu baada ya miaka 5, njoo utueleze (na uwe mkweli)
 
Darlingtone sio kama nina jazba hapana ila kukwambia ile ukweli kutoka moyoni mwangu sifurahii kuona huu UOVU unatetewa hapa.Huku wewe ukiwa front line as nyumba ndogo/mwizi.

Elewa pia kwamba matatizo mengi yanayoisibu jamii yetu yanaletwa na sisi wenyewe kutaka kurahisisha mambo kwa hoja nyepesi nyepesi kama mnazotoa hapa mf. Kuna aliesema hapa eti wanaume ni wanyama so wanatabia zile zile i.e kwa kuwa tu wanyama wana majike mengi so tuhalalishe huu huu uovu.

Nakuuliza ww sasa je kwakua beberu ana ana mpanda mama yake je turuhusu na sisi binadamu tutembee na mama zetu kwa vile nasi ni same na wanyama?

Darlingtone unachotenda na huyo mume wa mtu ni UOVU wala hupaswi kuja hapa na kuanza kuunadi kwa hoja zako nyepesi nyepesi ni kuikosea heshima jamii na Mungu kwa ujumla.

Umesema nyumba ndogo haziwez kwisha kwa kuwa tu wanaume wapo na wanaishi.
Hoja hiyo ni sawa tu na wale wanaosema jamii iukubali ushoga kwa kuwa tu kuna viumbe hawana hatia yani wanazaliwa na hormones nyingi za kike.

Nakubali kwamba hilo la nyumba ndogo lipo bt na ww ukubalh kwamba ni tatizo na hatuwez kuli support hadi kufikia ww kusema kwamba unaona fair tu na hujutii kuwa nyumba ndogo.
Darlingtone achana na hawa vidume wanaotetea hapa na wala wala wasiku encourage hadi ww kutuambia bila haya kwamba hujutii kuiba mume wa mtu.
Nakuombea na ww upate Mume akuoe na uzae watoto then cku ukisikia mumeo ana nyumba ndogo nje sidhani kama utakuja na katuli kama hizi ulizotoa hapa kwenye hii thread.

Kwa upande wangu ambao niko sawa kimtazamo na darlingtone nilibebewa mume na nyumba ndogo nikiwa na mtoto mmoja wala sina kazi. Nikapambana nikalea mwanangu na nakuhakikishia ana maisha mazuri kuliko wengi wanaoishi na baba na mama zao. Nyumba ndogo akiona anajifaidia baada ya muda huyo mume akili imerudi sawa na ile nyumba ndogo inajuta kwani iliyoyategemea sio, mimi najiishia kwa amani na mwanangu na huyo baba yake kila siku haishi kuleta matumizi wakati hapo mwanzo alikua anajifanya hata mtoto hana nabaki namuangalia tu hapa, kwa hiyo mpatanishi mtoto wangu si wa mtaani na katika malezi ya uhakika nimewapita wengi tu wanaoishi kwenye ndoa zako wanakosa hata ada ya kulipia watoto na hao waume zao hawana nyumba ndogo.

Kwa hiyo usifikiri wengine tunatetea bure hapa yashatukuta ndio maana hata nikiwa na huyo mume wa mtu siwezi msababisha akamuacha mkewe kwani hakuna faida nitakayopata huyo mke akiachika. Ila sina hata mpango wa kuolewa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom