klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Si uchokozi mkuu, ila mpaka sasa sioni sababu ya watu kulipuka. Hii issue tukiijadili kisayansi inajadilika, tena ni sredi pekee ambayo walengwa wote wamehuzuria kwenye sredi, namaanisha nyumba ndogo, wake za watu na waume za watu. Tatizo ni moja tu, tunajadili kwa kuvaa uhusika, hebu jaribuni kuvua uhusika halaf mkuwe neutral mjadili hii mada kiuhalisia na kimaumbile muone!huo uchokozi sasa Kloro,unafurahi tukilipuana? wenzio jana full stress imebidi asubuhi wapate a 'lay' ndo kieleweke ,vinginevyo wasingefanya kazi,unafanya mchezo nini Kloro?
Mimi nina mapwenti ya kufa mtu lakini nimeyazuia baada kuona mabladi presha ya watu yanaongezeka na Dr Riwa wenyewe hatembelei sana MMU.