Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

we hujui kinachoendelea nyuma ya pazia la ndoa, nshasema huko nyuma kuwa wake za watu kibao wanapigwa paipu na waume zao wanajua lakini for some reasons wanaminya.Sitaki kuongea mengi kuhusu visa vya wanawake lakini mtu wangu wa karibu sana ashawahi kuambukizwa kisonono na mkewe na mpaka leo yuko naye.Tatizo kwenye thread hii wachangiaji wengi (kina AshaDii et al) wameegamia kwenye mfumo jike as if wao ni malaika kumbe wapi ni wazambi tu kama sisi.

sasa mkuu ukisikia ubwege ndio huo wa hao wenzako unaowasema eti wanajua wanajua wake zao wanapigwa nje then wanakausha tu.

Unasema mtu kaambukizwa kisonono na bado kakausha tu dah aiseeee yani hilo jambo kwangu siwezi kulikubali hata Yesu arudi leo.

Nimsamehe mke anayegawa nje? Mke aliekuletea kisonono! Ukamsamehe?! Dah kweli wana moyo mkuu na may be wakaonekana wema sana machoni pa watu ila siku wakiletewa UKIMWI ndio watajua wao ni wema au wajinga.

Then watu wengi wanaojua wake wake zao wanagawa nje then wakakausha tu ujue hao wanaume nao wanagonga nje pia so hapo ngoma draw.
 
Asprin utanifanya nipaliwe na chakula(i'm eating right now)yaani nimecheka aahhh jamani hizi story za wake za watu wanaoliwa mimi ndio sitaki hata kusimulia ni aibuuuuuuuuuu hiyo ya kushushwa na kufatwa halafu in between mamaaa anaenda kucharika maeneo anarudi saa nane flani hivi daahh nishai kweli. Kwa ufupi nyie midume mnaojifanya mna cheat na kuamini kuwa wake zenu ni wasafi sana na hawafanyi POLENIIIIIII
Hivi unafikiri hatujui eh? Ni vile siye tumejiwekea utaratibu wa kutowafuatilia saaaaana! Tunajua sana...kwa mfano mie mke wangu ataendelea kuwa innocent mpaka pale ntakapomfumania and not otherwise. Naye pia apaswa kufuata nyayo zangu........ kufuatanafuatana kwaweza sababisha vifo visivyotarajiwa......Usitupe pole, twajua sana!
 
Ni kweli kabisa tena huko nyumba ndogo unakuta mtu anafokewa na kuamrishwa kama mtoto mdogo hafurukuti kabisa,lakini yupo tu.Akirudi kwa mkewe anajifanya mbogo ili asiulizwe.

Achilia mbali kuamrishwa wapo wanaopigwa makofi kabisa na hela ya cement anatoa hapo mwanamke ajenge.

Then jamaa alirudi kwa mkewe alikopanga kachumba kamoja au viwili mke akiuliza hela ya matumizi tu ni balaa anaanza kumjia juu mkewe!
 
honey...I LOVE YOU.....

I know hon' and that is what keeps me going.... I do have an ultimatum thou... Want to know how far you can go with that love for me... Say something... Something you truly believe na sio kiniridhisha mimi... Sweetie I don't buy the line kua we are stuck!! We can gombana bana... Kugombana is OK... AND worry not about kugombana.... we will have make up sex after... Hivo please say something or give me a really good reason no to..... And I Know you know kua I Love you too....
 
Aspirin, leo niko na wewe...
Sio kweli kwamba mambo lazima yaendelee kua the way yalikua kila siku. Kwanza mwanaume kua na wake wengi sio kawaida ya "kila siku". hata mwanzo kuna wanaume wengi walikua na mke mmoja tu. Tusichukulie mfano wa wayahudi na waarabu kua mfano wetu. Tuna historia yetu sisi kama waafrika. Babu yangu alikua na mke mmoja, baba yangu mke mmoja na mimi mwenyewe nina mume wangu ambae hana mke mngine.
Tukirudi kwa "nyumba ndogo" ambayo ni more ya kujiibia, kama unasema ni kitu kipo na kitaendelea kuwepo, mbona kuna wanaume wameshinda hiyo tabia, na ni wengi sana? Hao wanakua sio wanaume? kwa mtazamo wangu hao ndio wanaume wa kweli, sio hawa wasio kuna na msimamo na hawaheshimu ahadi yao waliotoa mbele ya ndugu, familia, serikali na Mungu.

Hapa umenena lazima tutafute mila desturi za waafrika tuache mambo ya waarabu na wayahudi. Mimi ambaye ni muafrika wa kutoka kanda ya ziwa historia inaonyesha kuwa: babu yangu alikuwa na wake wawili, baba yangu mkubwa ana wake kama kumi hivi ninaowafahamu - wengine hata siwajui kwa sababu amekuwa akiongeza bila taarifa katika siku za karibuni; baba yangu mzazi ana wake wawili; na baba yangu mdogo ana wake watatu wanaojulikana na vimada kadhaa. Mimi mpaka sasa nina mke mmoja na sina mpango wa kuongeza mwingine kwa sasa ni mapenzi kwa huyu mtani wa jadi, mfumuko wa gharama za maisha, ada za shule za watoto na hili gonjwa la kisasa. Sera yangu kuhusu ama kuongeza au kuwa na kimada ambayo imejengeka kwenye historia, mila na desturi za kabila letu na familia yangu ni kuwa nikitaka msaidizi wa mtani wa jadi nitamtafuta kwa wazi kabisa na sina haja ya kujificha. Nitautangazia umma wote kuwa sasa nimeongeza mke mwingine na kuondokana na huu utumwa wa kujifichaficha kwenye nyumba ndogo. Ila kwa sasa sina mpango huo na sioni nikiutekeleza any time soon.
 
Kwa upande wangu ambao niko sawa kimtazamo na darlingtone nilibebewa mume na nyumba ndogo nikiwa na mtoto mmoja wala sina kazi. Nikapambana nikalea mwanangu na nakuhakikishia ana maisha mazuri kuliko wengi wanaoishi na baba na mama zao. Nyumba ndogo akiona anajifaidia baada ya muda huyo mume akili imerudi sawa na ile nyumba ndogo inajuta kwani iliyoyategemea sio, mimi najiishia kwa amani na mwanangu na huyo baba yake kila siku haishi kuleta matumizi wakati hapo mwanzo alikua anajifanya hata mtoto hana nabaki namuangalia tu hapa, kwa hiyo mpatanishi mtoto wangu si wa mtaani na katika malezi ya uhakika nimewapita wengi tu wanaoishi kwenye ndoa zako wanakosa hata ada ya kulipia watoto na hao waume zao hawana nyumba ndogo.

Kwa hiyo usifikiri wengine tunatetea bure hapa yashatukuta ndio maana hata nikiwa na huyo mume wa mtu siwezi msababisha akamuacha mkewe kwani hakuna faida nitakayopata huyo mke akiachika. Ila sina hata mpango wa kuolewa kwa sasa.

Kula tano Sera. Watu hawaelewi yaani mimi wananitia hasira kwakweli wengine wanabisha tu ili mradi wamebisha ukweli wa mambo utabakia pale pale. Maswala ya kuvunja ndoa za watu,inahuu????wanaofanya hivi wana matatizo ya ubongo. Ndio maana nyie wanaume mnatakiwa pia kuangalia mnafata nini huko nje na msiwe mnakimbilia tu ndio maana huwa mnadumbukia kwenye madimbwi yenye vina virefu mnashindwa kutoka!!!
 
Kwa kweli sioni argument yako... Hapo kweny red sina mahusiano nayo kabisa...

Baba yangu ni mume wa mke mmoja na bado wanaishi na mama in their early 80's

Kama wewe ni muathirika wa nyumba ndogo, tueleze...

mimi sio muathirika wa Nyumba ndogo narudia tena sijaoa so hilo halijaniathiri labda kama umemaanisha vingine.

Tambua kwamba jamii inayonizunguka imeathirika na jambo hilo la nyumba ndogo/wizi, baadhi ndoa ndani ya ukoo zinatetereka na jambo hilo la nyumba ndogo/wizi, familia nyingi tu zinateseka kwa kukosa matunzo coz of ninyi nyumba ndogo/wezi thus y nasema NO to Nyumba ndogo kama tunataka kujenga jamii iliyo bora.

Upo hapo Darlingtone?!
 
I know hon' and that is what keeps me going.... I do have an ultimatum thou... Want to know how far you can go with that love for me... Say something... Something you truly believe na sio kiniridhisha mimi... Sweetie I don't buy the line kua we are stuck!! We can gombana bana... Kugombana is OK... AND worry not about kugombana.... we will have make up sex after... Hivo please say something or give me a really good reason no to..... And I Know you know kua I Love you too....

Love I choose that..not to say a word cause sipendi kurudia rudia , plus, this lunch umeniandalia leo is kiling me off and am contemplating on the 'desert' already.......how Am I supposed to say something sensible here?
 
Mwanaume mbishi wewe!!! lol.... (I guess ya asubuhi hukutosheka hon'.... This time desert itakua special treat)
 
Kama unasema hapana kwa nyumba ndogo, je, msimamo wako ni upi kwenye one night stand na machangudoa?

Mkuu msimamo nimeshautoa tangu mwanzo mkuu Infidelity tunaweza kusema is inevitable ingawa pia nayo tuna wish isitokee
bt kama itatokea 1 nyt stand c mbaya sana ina depend na mazingira tu na huwa haina effects kubwa kwa familia also inafanyika safely mana kule kuaminiana kwa wahusika ni 0,

hapo ni in general mkuu i mean kama wanaume watatele is up to them.
Bt binafsi sijao na sitarajii kuja kumsaliti mke wangu wa ndoa.

lakini hii ya kupangishiana nyumba, kumjengea mwanamke/nyumba ndogo huku mkeo akiteseka na nyumba za kupanga, watoto kushindwa kupata elimu vizuri huo ni upuuzi mkuu.
 
Mkuu msimamo nimeshautoa tangu mwanzo mkuu Infidelity tunaweza kusema is inevitable ingawa pia nayo tuna wish isitokee
bt kama itatokea 1 nyt stand c mbaya sana ina depend na mazingira tu na huwa haina effects kubwa kwa familia also inafanyika safely mana kule kuaminiana kwa wahusika ni 0,

lakini hii ya kupangishiana nyumba, kumjengea mwanamke/nyumba ndogo huku mkeo akiteseka na nyumba za kupanga, watoto kushindwa kupata elimu vizuri huo ni upuuzi mkuu.

Wow! Just wow!
 
Wow! Just wow!

NN. nimesema hiyo ni in General mkuu, nimetazama kwa ujumla sisi kama wanaume,
hebu pima angle zote may be ur wife yuko far, vishawishi n.k so kama utateleza is up to u mkuu

get it from me kuwa mwanaume imara ni yule anaejizuia kabisa kumsaliti mke wake.
 
mimi binafsi nahisi Boss hajakosea sana. ila ni msimamao kuna watu wameharibiwa na confidence waliyopata kutoka kwenye thread ile, ila wapo nyumba ndogo humu JF
 
nyumba ndogo za humu JF pia zimepata kujua msimamo ama utaratibu wa nyumba ndogo kama alivyosema Boss kuwa nyumba ndogo hawezi kuwa kama mwenye nyumba na kadhalika
 
hizo ni sababu tu nyepesi nyepesi mnazotoa ili kutaka kuhalisha UOVU lakini bado ukweli unabaki pale pale nyumba ndogo ni JANGA kwa ndoa za watu. Ni kuikosea jamii heshima.
sisi wote kama tunataka jamii bora kamwe tusi support nyumba ndogo.

just going round and round,uovu then uovu then uovu,sawa bana ku:..t.....ba ni uovu,furahi basi nafsi yako,kha!
By the way Mpatanishi ushawahi kuambukizwa kisonono? Just curious nione uzoefu wako kwenye mishemishe za town?
 
sasa mkuu ukisikia ubwege ndio huo wa hao wenzako unaowasema eti wanajua wanajua wake zao wanapigwa nje then wanakausha tu.

Unasema mtu kaambukizwa kisonono na bado kakausha tu dah aiseeee yani hilo jambo kwangu siwezi kulikubali hata Yesu arudi leo.

Nimsamehe mke anayegawa nje? Mke aliekuletea kisonono! Ukamsamehe?! Dah kweli wana moyo mkuu na may be wakaonekana wema sana machoni pa watu ila siku wakiletewa UKIMWI ndio watajua wao ni wema au wajinga.

Then watu wengi wanaojua wake wake zao wanagawa nje then wakakausha tu ujue hao wanaume nao wanagonga nje pia so hapo ngoma draw.

ndo mana Aspirin kakwambia oa uyakute,unacheza na ndoa wewe? Tuulize sisi maveteran,we have been there na joto lake tunalijua.
Na kwa taarifa yako wanawake wametuzaa lakini wewe waone hivyo hivyo,nje ngozi laini ndani they are harder than a stone,mwanamke anaweza akakubobbit huku anacheka,usicheze wewe na hao viumbe.
Eti mwanamke akini cheat namwacha,lol kwa msimamo wako ndoa bongo hii zingekuwa za kuhesabu.
 
Back
Top Bottom