Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Niliuliza mwanzo kabisa..... Kipimo cha nyumba kubwa, mediam, small na concubine... sikupewa jibu... sidhani kama umri ni Tija..
and just FYI, hawa wanaume zenu, wanapenda nyumba ndogo age yetu kwa sababu "we have been there, we have done that" na sasa tumetulia... akumchukua binti wa below 35yrs atataka mtaa mzima waone yuko na mshefa na she can even call the wife... Now u see why we qualify to be nyumba ndogos

Hapo inahitaji thread... hapa it's useless sitaweza.... iMaelezo ya chini nimekujibu previous post nilokujibu...
 
mwenye hofu ya Mungu tu ndio anaweza kuelewa ulichoandika hapa. kuna mambo mengine huwa yanachangiwa humu mmu kwa ushabiki tu, pengine hata bila mtu kufikiri kuwa kwa kuchangia tu kunamtia katika dhambi, hivyo usishangae sana bibie kwa comment zinazotoka hapa kwan kila mtu ana mtazamo wake na utashi wake.

wallah hivi ni vitisho sasa,kwamba hata kwa kuandika ni dhambi,lol! Na dhana ya free speech kaiumba nani?
 
Whiskey, Vodka, Beer, Cigarettes, Women, Money etc, etc... are a man's worst enemies, and the man who runs away from his enemies is a COWARD.

mmmmmhhh makubwa,pole mama tumetonesha donda.

Wala hujinitonesha Bishanga because its longtime ago, yaani I'm comfortable na maisha ninayoishi sasa kuliko wakati ule, mara uko wapi, ukifika naomba simu yako n.k wakati yeye hati aulizwe ndo sababu niliepusha msongamano nikajiweka pembeni, thanks God maisha yanaendelea.
 
Hiyo ni typical tabia ya wezi.........yaani umekamatwa na kidhibiti bado unasema sio wewe!!! duuuuuh
 
Yaani wewe uamue kufanya ujinga ukidhani kuwa hawezi kukuacha kisa tumezaa......dooooh, mbona utashangaa siku hiyo bila kuamini kichogo chako kinayoyasikia na kuyaona..........

halafu utaishije baada ya hapo? Na kibaridi utakifanyaje? Mwanaume ye hana shida sa yoyote anavuta mzigo,wewe je?
 
Hapa sikubaliani na wewe kabisa. Labda tanzania iliyo sayari nyingine

Mkuu sikuandika ili ukubaliane na mimi. Nafikiri nilichoandika ni uhalisia. Real-life experience tells that those who don't accept the reality, are hitting walls that they cannot get past and can only take a person so far in their deliverance. Face the reality to fill the lacuna or avoid it to stay with the problem.
 
Nyumba ndogo Wanaume wapo more interested between the age of 28 -37... Zaidi ya hapo wewe sio nyumba ndogo labda kama hamjui vigezo na masharti dear... I have been there... I know...

Sikukatalii AshaDii kwa sababu huo ni mtazamo wako...
Lakini kwa ukweli ni kwamba wadada wengi wa umri huo 28-37 wako desperate kuolewa na kupata watoto....

Hebu nipe kwanza vigezo vya nyumba ndogo....
 
Hahahaha nipo babu ni kazi tu zimenibana leo, tena zimenibana haswa la sivyo pasingetosha hapa leo

Usihofu Ashadii jambazi mie nikivamia ndani kwako nakula ubwabwa tu uliobakisha jikoni kisha najiendea zangu sina shida ya redio yako wala tv vyote ninavyo ila njaa tu ilinibana.

Babu unaapia kabisa, ungejua mimi sarafina ni nani ungechoka ngoja nipate pate nguvu takupa ile ID yangu halisi

Waambie mwenzangu sa sie tusio na waume tukaponee wapi?

Yaani we ulikua wapi saa zote hizi

Ashadii usione tunasema haya ukajua bado watoto, darlingtone ana age hiyo hapo mimi niko kati ya 30 - 35 naelekea 40 hivyo tushaona mengi usidhani tumekurupuka kujibu, haya maisha haya yana mengi

uko wapi mpenzi nikuletee chupa ya christal champagne?
 
Sikukatalii AshaDii kwa sababu huo ni mtazamo wako...
Lakini kwa ukweli ni kwamba wadada wengi wa umri huo 28-37 wako desperate kuolewa na kupata watoto....

Hebu nipe kwanza vigezo vya nyumba ndogo....

I genuinely don't have the energy.... Wanaume wanaopita hapa wananiumiza... Wee na Sarafina mnaongea ukweli mtupu nao pia waniuma... Sina support... maybe i would have had the energy... lakini kweli kabisa sina.... Nashindwa kuelewa hasa tunabishana nini la mno... Ni wazi na nikweli kua cheating imekua juu.... Nabaki na Msimamo kua Kua na nyumba ndogo inaepukika whereas Infidelity itself haiepukiki.... Sorry maybe next time....
 
Whiskey, Vodka, Beer, Cigarettes, Women, Money etc, etc... are a man's worst enemies, and the man who runs away from his enemies is a COWARD

Our deepest fear is that we are powerful beyond measure. It is our light, not our darkness that most frightens us
 
Halaf upande wa Taifa stars kabaki AshaDii tu! khaa!

Wee furahia tu Kloro naona ndo maana umetinga hapa kunimaliza nguvu kabisa... I have got news.... I am a really strong woman...

that is where the problem comes!!!....you are second husband is cheating on you...

Nafikiri utaelewa nikiuambia innocent untill proven guilty.... Sinaga upuuzi wa kufikiria from the blue..
 
umri huo (35-45) bado anaqualify kuwa nyumba ...huo ni mtazamo wako...

Umri wa 20 - 25 ni wale wasichana wanaochipukia katika mambo ya mapenzi, hawa ndo utawakuta wanaitana GF na BF, nyumba ndogo ni umri mkubwa kidogo kama uliotajwa hapo juu, ujue mwanaume anakimbia stress kwa nyumba kubwa, kwenye small house nako aje akutane na stress, so lazima nyumba ndogo i1we na umri mkubwa kidogo kwasababu ni watu ambao wameshapita mishemishe kadhaaa za maisha wanachotaka ni goodtime tu. Eti nyumba ndogo mwanafunzi wa SAUT, UDSM n.k, hapo si bora ubaki na mkeo nyumbani
 
I genuinely don't have the energy.... Wanaume wanaopita hapa wananiumiza... Wee na Sarafina mnaongea ukweli mtupu nao pia waniuma... Sina support... maybe i would have had the energy... lakini kweli kabisa sina.... Nashindwa kuelewa hasa tunabishana nini la mno... Ni wazi na nikweli kua cheating imekua juu.... Nabaki na Msimamo kua Kua na nyumba ndogo inaepukika whereas Infidelity itself haiepukiki.... Sorry maybe next time....

"Never get angry. Never make a Threat. Reason with People"

Pole mamito,
hivi nyumba ndogo inaanzaje.... si inaanza kama infidelity??
Since umekubali kwamba infidelity haiepukiki, then ndo zinajenga nyumba zetu hizi

We as nyumba ndogo's we pledge our allegiance to you nyumba kubwaz na wajenzi wote
 
Wee furahia tu Kloro naona ndo maana umetinga hapa kunimaliza nguvu kabisa... I have got news.... I am a really strong woman...

Na kuna midfielder moja ilivuma miaka ya 99 mwishoni ilikuwa upande wa nyumba ndogo! ilikuwa inaitwa Dasophy! aisee hiyo ilikuwa moto wa kuotea mbali sana.
 
"Never get angry. Never make a Threat. Reason with People"

Pole mamito,
hivi nyumba ndogo inaanzaje.... si inaanza kama infidelity??
Since umekubali kwamba infidelity haiepukiki, then ndo zinajenga nyumba zetu hizi

We as nyumba ndogo's we pledge our allegiance to you nyumba kubwaz na wajenzi wote

Ndio maana naona kwamba huelewi maana ya nyumba ndogo... it is just one form of infidelity... na indidelity ambazo huishia kua nyumba ndogo ni asilimia chache saana ukifananisha na "hit and runs"..... Usiwe na haraka wala wasi wasi... Hizo sifa za qualifications of a nyumba ndogo utazipata with time...
 
Back
Top Bottom