Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,713
hehehe Dah! sasa nadhani kimeeleweka.
Du nilizani utapuliza kipenga mchezo uishe, au umeruhusu dakika za nyongeza??
hehehe Dah! sasa nadhani kimeeleweka.
Darling tone kama upo between that age... UMEKOMAA tayari... wee sio nyumba ndogo tena you do not qualify... Wee ni mke wa pili... na kwa taarifa yako tayari nyumba ndogo yako ipo....
Labda nikupe sababu za kwa nini wanaovumilia wanavumilia.... (Maybe youi will understnd....) Shukuru saana umezaliwa these times... shukuru pia kua you live in these times ambazo imerahisisha saana maisha ya wanawake thou tupo wachache katika hilo kundi. - ila nakusihi kwamba always feel for you fellow woman and try to understand her... itakusaidia kukujenga belive me....
Note that hapa nazungumzia an ordinary Tanzanian woman... Acha walo jikwamua kielimu... acha walo jikwamua kujitambua... na wacha walo jikwamua kimaisha... (thou na wao mmoja mmoja aweza ingia)
Mfumo dume tulonao...
Haujaanda wanawake walo wengi kuweza jitegemea... Hii system inamnyang'anya mwanamke confidence... Kujitambua... Ama hata kujua kua she can survive regardless yupo na mumewe ama lah! Huu mfumo umenyima elimu kwa wanawake walo wengi hivo kua na a bleak future... Pia umemnyima kutambua kua ana haki ya kuongea na kuamini atakacho as long as it is for her own benefit... Akiwa kajengewa toka utoto kwamba haruhusiwi kuongea mbele ya wanaume... Akaenda unyago akaambiwa kua what ever mumewe ataongea ni "AMEN" to her... Na mengine mengi... Hapo yeye kutoa maamuzi ya kuachana na mumewe kazi ipo... labda mwanaume amuache...
Utamaduni...
Utamaduni in most case umemkandamiza mwanamke... Nitolee mfano wa mahari ambayo katika makabila mengine hutolewa kama vile huyo mwanamke anauzwa... (which could be true maana tayari mwanamke unakua considered you are no longer part of your original family) Yaani hata ukifariki kama kwenu Moshi umeolewa na mwanaue wa Sumbawanga basi utazikwa huko Sumbawanga... Hizi tamaduni pia zinavi element ambavo vinamkuza mwanaume na kushusha mwanamke.... Hivo basi Darling tone usiwashangae wala usiwa judge for walikua wamesukwa toka hivo toka utoto....
Utegemezi..
Hii hutokana na the fact kua wanawake walo wengi wanategemea waume zao... (thou inabadilika kwa kasi sasa) Unakuta mwanamke anamtegemea kila kitu mwanaume... Mwingine hudiriki hata kuacha career yake just because huyo mumewe ka-demand hivo na kaahidi to take care of her... hivo inapotekea yameumana ndani ya ndoa hana pa kukimbilia (hivo usishangae sometimes kwa nini wajane ni wengi - sio ajabu wanawake wengine huua hata waume zao...) anajua hawezi ondoka but hamtaki mume...
Watoto...
Only a mother can understand this... Mtoto sio kigezo cha kukaa.... ila inakuja tu kwamba wanawake tunaelewa jinsi most wanaume walivo... Akikuacha wewe kaacha na wanao (sijui hii species ikoje kwa kweli naona sababu hawabebi wao mimba); inapotokea mwanamke hana uwezo wa kuwalea wanae kama yupo kama single parent... anavumilia for she wants what is best for the child... Only a mother aweza elewa what i mean hapa..
The above ni baadhi tu ya sababu zipo nyingi....
ukibakwa legea,ukigangamala utaumia.
Haya majibu yako yanaashiria husomi post Bishanga.... Unaruka ruka tu... Darling kazungumza hilo two pages ago ndo unamsifu saizi?? lol
hujanijibu swali bi Asha,una ubavu wa kumwacha mwanaume hasa kama mmezaa?
Na swali la nyongeza: kwa kuwa Blackberry hapo juu amedhibitisha kuwa wanaume wote ni wazanga,sasa je kwa mtaji huo utaolewa vyuo vingapi?
Huwa sitaki shida wala pressure maisha yenyewe mafupi haya halafu mtu mzima akusumbue? Nilitoka
Kwa mwanamke kama mimi haiotokaa nyumba kubwa inikamate kwani sina mipango mibaya na huyo mumewe, kama mwanamke mwenye akili najua mida hii anatakiwa awe na familia yake nyumbani na nahakikisha anatimiza mahitaji yote ya familia. Nakumbuka kuna mtu nilimtimua mpaka aniletee risiti za ada ya watoto hakuamini. Siku niliyokuja mwambia mimi na wewe basi nusu anitoe roho kifupi ananisaka mpaka leo imagine mtu ana mkewe nilimshindwa tu kwani alikua na hasira za ajabu ukimuudhi kidogo unakula kibao hata bar kisha anaomba msamaha kha wanini nikajisogeza pembeni.
Kama huyo mama anaamua kuondoka wakati mumewe alikua anamuona kwa wakati, hadharauliwi na mimi nyumba ndogo, anapata huduma zote muhimu yeye ndio atakua ameharibu maisha ya watoto wake na si mimi. Maana kuna wanawake wengine hawana kazi za kufanya kazi kupekua pekua waume zao hata kusikopekulika.
Darling tone kama upo between that age... UMEKOMAA tayari... wee sio nyumba ndogo tena you do not qualify... Wee ni mke wa pili... na kwa taarifa yako tayari nyumba ndogo yako ipo....
Kwa mwanamke kama mimi haiotokaa nyumba kubwa inikamate kwani sina mipango mibaya na huyo mumewe, kama mwanamke mwenye akili najua mida hii anatakiwa awe na familia yake nyumbani na nahakikisha anatimiza mahitaji yote ya familia. Nakumbuka kuna mtu nilimtimua mpaka aniletee risiti za ada ya watoto hakuamini. Siku niliyokuja mwambia mimi na wewe basi nusu anitoe roho kifupi ananisaka mpaka leo imagine mtu ana mkewe nilimshindwa tu kwani alikua na hasira za ajabu ukimuudhi kidogo unakula kibao hata bar kisha anaomba msamaha kha wanini nikajisogeza pembeni.
Kama huyo mama anaamua kuondoka wakati mumewe alikua anamuona kwa wakati, hadharauliwi na mimi nyumba ndogo, anapata huduma zote muhimu yeye ndio atakua ameharibu maisha ya watoto wake na si mimi. Maana kuna wanawake wengine hawana kazi za kufanya kazi kupekua pekua waume zao hata kusikopekulika.
wea wea yu mpaka ukawekwa kwenye wanted list na Ashadii?
Ngoja nimjibie kidogo, nyumba ndogo nyingi za sasa ziko kisasa zaidi, na saa nyingine waume zenu wakiishiwa huwa tuwakopesha mpaka hela kula na nyingine wawalipie watoto wenu ada, hamlijui tu hilo. Hatuna muda na mume alieacha mkewe kwa makusudi kwani hata wewe anaweza kukuacha. Tuna maisha yetu tayari tunachofanya ni kula goodtime bila usumbufu.
umri huo (35-45) bado anaqualify kuwa nyumba ...huo ni mtazamo wako...
Dear ADI na RR niwapongeze kwa mtizamo wenu japo wengi wanaona kama ni almost impossible kwa mwanaume kuwa bila nyumba ndogo lakini nawaambia INAWEZEKANA KAMA AKIAMUA KWA SABABU VITU VYOTE VINAANZIA KWENYE UBONGO.
Katika mabandiko mengi niliyoyapitia na ushauri uliotolewa ni wa upande mmoja tu kwamba fanya hivyo bati usikamatwe........ sasa kwa bahati mbaya kwako na nzuri kwa mkeo ikatokea siku umekamatwa maana si wanasema za mwizi arobaini au mipango sio matumizi ....je Mkeo anapaswa kukufanya nini......... au niseme anaruhusiwa kufanya nini?
Naomba nipate majibu ya uhalisia hapa na sio ya kusadikika. Natanguliza shukran zangu.
heheh Mimi nilichezesha mpambano wa jana bana, leo nipo kama mshangiliaji tu.Du nilizani utapuliza kipenga mchezo uishe, au umeruhusu dakika za nyongeza??
AshaDii bwana... Am between 35 - 45
Thanks Mamito, lakini risala yako haina konklusheni...lol
Anyway, mimi kama nyumba ndogo, msimamo wangu ni kwamba I consider all of the above kabla sijaingia kwenye relationship
Tabia za wanaume wengine utazijua tu... akimdharau mkewe mbele yako, next day atakudharau mbele ya mwanamke mwingine
kwa hiyo ni rahisi ku-judge... akili kumkichwa