Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

lol temea mate chini Bi Asha,siwezi kumshauri mtu kitu kama hicho,all i am saying ni kwamba uhawara upo na kinamama mkubaliane na hali halisi.Tunza ndoa yako dear.

Ps: karibu lunch mihogo ya kuchoma na kipande cha kauzu.

Maana nimejibu tokana na post ulom-mquote Sarafina... What was i to say?? Maana you have mentioned me nikiwa mmoja wapo... kana kwamba nisivunge... hivo basi Bishanga labda you tell me what you meant kwamba I should heed maneno ya Sara... Kingine mie nashangaa hizo post mnasomaje; tumieni miwani B' kama hamuoni... Nani kakwambia kua hali halisi hatuijui??

Hio lunch nakuja... Hakikisha kuna kinywaji karibu.....
 
Sweetie umetafutwa toka jana hapa kiasi kwamba sasa haina haja... Ila tu naomba usipite mtaa anaoishi Sarafina... Nasikia una majambazi....lol...

msimwonee Sarafina wangu,lol mtoto wa watu anaishi masaki karibu na yatch club!
 
Dear ukisha olewa give me this advice... maybe i will turn my ear and listen....

Nasema hivi kwa sababu nimeona wanawake wengi walioolewa na wana watoto, kila akiwaza kuacha watoto au kuacha mume anaona sijui aibu au huruma whatever u call it kwa muda huo, then anaamua kukaa na kuvumilia tu, after all ndoa is all about uvumilivu... (another advise, usinitoe macho..lol)

You are implying that i give advice on the wives on how to keep their men on the leash.... Well that is where you are mistaken.... Wives are of different nature... and not all of them give a damn whether the hubby has a nyumba ndogo or not.... I don't think there is any need of advice on keeping her Man on the leash... For if she was able to nail him (her not being the first woman the dude had ever slept with - that says something... that she has more than any woman the hubby had experienced) The thing kuhusu ndoa kwa mke ni simple tu! Mwanamke akiamua ndoa yake ivunjike at par.... INAVUNJIKA... Bila wasiwasi wala mkwaruzo.... Na akiamua isivunjike no matter what... The same applies... Sasa what do i tell such a woman about how to keep his man?? NOTHING!!!!

Nothing indeed... sikio la kufa..., sasa hapo mwanaume anapotafuta nyumba ndogo mambo yakawa sio mambo tena anamlalamikia nani?

However nakuja kwako wewe ambae ndo nyumba ndogo.... (kwanza hongera saana for unaonekana mjanja and you know how to pick em' hivo kwako I believe life is good and almost perfect)... USHAURI ningependa zaidi uwe kwako... If you will allow me... for no need of it kama bado you feel bado upo fully equipped....

Haya mama, nipe huo ushauri.... Nakaribisha maoni na ushauri
 
Dear ADI na RR niwapongeze kwa mtizamo wenu japo wengi wanaona kama ni almost impossible kwa mwanaume kuwa bila nyumba ndogo lakini nawaambia INAWEZEKANA KAMA AKIAMUA KWA SABABU VITU VYOTE VINAANZIA KWENYE UBONGO.

Katika mabandiko mengi niliyoyapitia na ushauri uliotolewa ni wa upande mmoja tu kwamba fanya hivyo bati usikamatwe........ sasa kwa bahati mbaya kwako na nzuri kwa mkeo ikatokea siku umekamatwa maana si wanasema za mwizi arobaini au mipango sio matumizi ....je Mkeo anapaswa kukufanya nini......... au niseme anaruhusiwa kufanya nini?

Naomba nipate majibu ya uhalisia hapa na sio ya kusadikika. Natanguliza shukran zangu.
 
Mi mbona nilisema tangu mwanzo Bishanga, au hukuona

saa ingine nikisoma mipoint ya nguvu kama ya kwako macho yanaingia maluwe luwe,yaani we acha tu mjadala maridadi sana huu,uendelee tu mpaka kurasa mia!
 
Nasema hivi kwa sababu nimeona wanawake wengi walioolewa na wana watoto, kila akiwaza kuacha watoto au kuacha mume anaona sijui aibu au huruma whatever u call it kwa muda huo, then anaamua kukaa na kuvumilia tu, after all ndoa is all about uvumilivu... (another advise, usinitoe macho..lol)

Naomba kukuuliza my dia......... sasa kwa mfano wewe ndio hiyo nyumba ndogo na nyumba kubwa imesambaratika kwa mkakati wako na watoto wako mitaani wanahangaika na wewe unawajua na unawaona. Wewe kama mwanamke utajisikiaje??
 
Siku kadhaa zilizo pita kuna member alitoa post kuhusu utaratibu wa ku-manage nyumba ndogo ili asi lete utata. Member huyo anaitwa The Boss.

Pamoja na kumshukuru kwa kutoa maoni na shauri zake kuhusu Nyumba ndogo, mimi kama mwanamke nimeona siwezi kujibu kwenye post lile ila nifungue tu thread mpya sababu mtazamo wangu na wake ni tofauti kabisa.Kwanza namlaumu kwa kutoa thread kama hiyo sababu ina halalisha kitu kilicho haram. nikijieleza kwa mfano, ni kama kusema inakatazwa kuua mtu ila kama utaamua kumchinja kumbuka kutoa carpet usilijaze damu. Mtasema hana influence ya kuhalalisha au kuharamisha kitu, na ni kweli, ila yeye ndie alitoa mwelekeo wa thread na kila alie changia kwa kumsupport (na kila alie “like” thread yake) ameongeza sauti lake kwenye mada na hivo msomaji wa kawaida (mimi na wewe) tunahisi kuna watu wengi sana wanamtazamo huo. Kwa mtu alie kua na nia ya kwenda nje, au Yule tayari anatembea nje ya ndoa, ni ruhsa tosha ya kuendelea katika njia hiyo.Pili, kama ikitokea mtu aanguke na atoke nje ya ndoa, shauri la kumpa sio namna gani aifanya hali hiyo iwe shwari na idumu, bali nikumshauri namna gani anaweza kujitoa katika mtego huo. maada ya thread hii sio kutoa huo ushauri, labda nitarudi baadae.La tatu na lililo nikwaza zaidi ni heshima ndogo ya utaratibu mzima kwa wanawake, iwe nyumba kubwa au nyumba ndogo. Kwa namna nilisoma thread (kama nilikosea naomba anikosoe) kila kitu kina husisha kugawa hela kati ya nyumba kubwa na nyumba ndogo (material distribution) na heshima/mtazamo wa ndugu na rafiki. sikuona katika thread hiyo mapenzi yanawekwa wapi, heshima ya muhusika kwa nyumba kubwa, au nyumba ndogo, watoto, tegemeo za watu wengine na kadhalika vikija katika hesabu.Katika dunia ya JF, ni sawa kuanzisha thread kama hiyo ila dunia ya kweli ambayo ninaishi mimi, na wengine wengi, hivyo vitu vipo. Mtu anaheshima yake na akienda kwa nyumba ndogo conscience yake inamsumbua. kuna mapenzi kati ya yeye na nyumba kubwa, au kati ya yeye na nyumba ndogo, au yuko in transition, akitoa mapenzi kwa bimkubwa kwenda kwa nyumba ndogo(or whatever the case). Pia wanawake hao ni binadamu na wana akili, tumaini, na hisia zote za kawaida. wanapiga hesabu za maisha na kusema kesho nataka mimi na mpenzi wangu tuwe hivi, na hivi, na hivi. na wanatumia njia mbali mbali za kumshawishi mwanaume afate hizo njia.

Kwa kumalizia nataka kukumbusha kama kila mtu ana mtazamo wake wa haya mambo na nina heshimu mtazamo wa kila mtu. Huu hapa ni mtazamo wangu na naomba uheshimiwe pia. Sijakataza kutoa maoni yenye kupinga mtazamo, nimeomba tu tuchangie kwa heshima.

Asanteni.
mwenye hofu ya Mungu tu ndio anaweza kuelewa ulichoandika hapa. kuna mambo mengine huwa yanachangiwa humu mmu kwa ushabiki tu, pengine hata bila mtu kufikiri kuwa kwa kuchangia tu kunamtia katika dhambi, hivyo usishangae sana bibie kwa comment zinazotoka hapa kwan kila mtu ana mtazamo wake na utashi wake.
 
Dear ADI na RR niwapongeze kwa mtizamo wenu japo wengi wanaona kama ni almost impossible kwa mwanaume kuwa bila nyumba ndogo lakini nawaambia INAWEZEKANA KAMA AKIAMUA KWA SABABU VITU VYOTE VINAANZIA KWENYE UBONGO.

Katika mabandiko mengi niliyoyapitia na ushauri uliotolewa ni wa upande mmoja tu kwamba fanya hivyo bati usikamatwe........ sasa kwa bahati mbaya kwako na nzuri kwa mkeo ikatokea siku umekamatwa maana si wanasema za mwizi arobaini au mipango sio matumizi ....je Mkeo anapaswa kukufanya nini......... au niseme anaruhusiwa kufanya nini?

Naomba nipate majibu ya uhalisia hapa na sio ya kusadikika. Natanguliza shukran zangu.

Unamsamehe halafu mnaendelea na maisha
 
wee una ubavu wa kumwacha mwanaume? hasa kama mmezaa?

Yaani wewe uamue kufanya ujinga ukidhani kuwa hawezi kukuacha kisa tumezaa......dooooh, mbona utashangaa siku hiyo bila kuamini kichogo chako kinayoyasikia na kuyaona..........
 
Sarafina1........lakini amesepa baada ya ADI kulog in.

Hahahaha nipo babu ni kazi tu zimenibana leo, tena zimenibana haswa la sivyo pasingetosha hapa leo

Sweetie umetafutwa toka jana hapa kiasi kwamba sasa haina haja... Ila tu naomba usipite mtaa anaoishi Sarafina... Nasikia una majambazi....lol...

Usihofu Ashadii jambazi mie nikivamia ndani kwako nakula ubwabwa tu uliobakisha jikoni kisha najiendea zangu sina shida ya redio yako wala tv vyote ninavyo ila njaa tu ilinibana.

Umeshakuja hapa shem..............hutamuona tena nakuapia!

Babu unaapia kabisa, ungejua mimi sarafina ni nani ungechoka ngoja nipate pate nguvu takupa ile ID yangu halisi

Huwa nipo humu humu ndugu yangu, somtimes majukumu yakikuzidi unapotea kidogo ukipata nafasi unashiriki kama hivi. Ushauri wangu kwa wadada na wamama acheni kulalamikia nyumba ndogo chukue hatua, mtalalamika hadi lini? Yaani nyumba ndogo zipo tu wapendwa tupende tusipende na katika wanaume 10 naamini 8 kati yao wananyumba ndogo, sasa wewe mama mumeo kuwemo ktk hao wawili....mmmh! Lakini pia tujue kuwa wanawake tuko wengi ukilinganisha na wanaume, sasa hatuwezi kuolewa wote lazima wengine wataingia ndani ya ndoa wengine watabaki kuwa nyumba ndogo

Waambie mwenzangu sa sie tusio na waume tukaponee wapi?

Najisikia kawaida tu... No regrets
well said dear

Sina Mategemeo na mume wa mtu...
Washamba wa zamani ndio alikua akikamata mume wa mtu anamtaka jumla. Mi kwanza mume wa mtu akija na kashfa za kumkashifu mkewe tu namtimulia mbali. Tunakula raha tu wajameni wala hatuna shida na hao waume zenu moja kwa moja.

Hapo ndo ishu inapokuja... sina huo mpango.... si unajua "what comes around....", sitaki shida
Yaani we ulikua wapi saa zote hizi

AshaDii bwana... Am between 35 - 45
Ashadii usione tunasema haya ukajua bado watoto, darlingtone ana age hiyo hapo mimi niko kati ya 30 - 35 naelekea 40 hivyo tushaona mengi usidhani tumekurupuka kujibu, haya maisha haya yana mengi
 
Naomba kukuuliza my dia......... sasa kwa mfano wewe ndio hiyo nyumba ndogo na nyumba kubwa imesambaratika kwa mkakati wako na watoto wako mitaani wanahangaika na wewe unawajua na unawaona. Wewe kama mwanamke utajisikiaje??

KBD, kila mtu na roho yake na mikakati yake ya maisha...
sijawahi kutaka kumiliki mume in the 1st place...
kwa hiyo lazima kabla mikiki mikiki haijakolea tuwekane wazi ajue position yake kwenye familia yake,
sisambaratishi ndoa ya mtu

huo ni msimamo wangu mimi...
 
Ngoja nimjibie kidogo, nyumba ndogo nyingi za sasa ziko kisasa zaidi, na saa nyingine waume zenu wakiishiwa huwa tuwakopesha mpaka hela kula na nyingine wawalipie watoto wenu ada, hamlijui tu hilo. Hatuna muda na mume alieacha mkewe kwa makusudi kwani hata wewe anaweza kukuacha. Tuna maisha yetu tayari tunachofanya ni kula goodtime bila usumbufu.
 
Yaani we ulikua wapi saa zote hizi

Ashadii usione tunasema haya ukajua bado watoto, darlingtone ana age hiyo hapo mimi niko kati ya 30 - 35 naelekea 40 hivyo tushaona mengi usidhani tumekurupuka kujibu, haya maisha haya yana mengi

Waz taking notes my dear
 
KBD, kila mtu na roho yake na mikakati yake ya maisha...
sijawahi kutaka kumiliki mume in the 1st place...
kwa hiyo lazima kabla mikiki mikiki haijakolea tuwekane wazi ajue position yake kwenye familia yake,
sisambaratishi ndoa ya mtu

huo ni msimamo wangu mimi...

Yaani kitufe cha thanks kingerudishwa tu kwa leo.
 
Back
Top Bottom