Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

siyumbi.... Ndio wanadamu twapishana hapo... Ninapo sema sipendi nyumba ndogo - haimaanishi kwamba i hate ile nyumba... Ila namaanisha SIPENDI kua Mjenzi wangu kajenga hio nyumba... Siwezi mchukia mwanamke mwenzangu kwa kumkubali mwanaume ambae ninae na hasa kama ananichanganya akili... Sina hio energy..ila najua itaniumaaaaaa!!! (zaidi nitamuona nae ajua kuchagua a true man kama mimi); tatizo langu lipo kwa mwanaume... Na i am telling you B' mpaka mwanaume kaku cheat kiasi kwamba kahalalisha na nimejua... He is not worth it no matter nampenda vipi?

wee una ubavu wa kumwacha mwanaume? hasa kama mmezaa?
 
Huwa nipo humu humu ndugu yangu, somtimes majukumu yakikuzidi unapotea kidogo ukipata nafasi unashiriki kama hivi. Ushauri wangu kwa wadada na wamama acheni kulalamikia nyumba ndogo chukue hatua, mtalalamika hadi lini? Yaani nyumba ndogo zipo tu wapendwa tupende tusipende na katika wanaume 10 naamini 8 kati yao wananyumba ndogo, sasa wewe mama mumeo kuwemo ktk hao wawili....mmmh! Lakini pia tujue kuwa wanawake tuko wengi ukilinganisha na wanaume, sasa hatuwezi kuolewa wote lazima wengine wataingia ndani ya ndoa wengine watabaki kuwa nyumba ndogo
Mie nimekupenda kwa jinsi ulivyo!
 
Hi darlingtone. I'm really happy about you coming out to express yourself as a nyumba ndogo. Labda nikuulize swali kidogo:
- Una jiskiskiaje kua nyumba ndogo? (unajivunia, au una umia, au hujali kabisa)

Najisikia kawaida tu... No regrets

- Una tegmeo gani kuhusu hiyo relation? (atamwacha nyumba kubwa aje kukuoa, atakuoa kama bimdogo, mtaendelea kuwa wapenzi hadi penzi likipotea kila mtu anaendelea?)

Sina Mategemeo na mume wa mtu...

- Ukija kuolewa utakua na mtazamo gani kuhusu nyumba ndogo (utakubali, utahakiksha mume wako haendi nje kwa mbinu zote, huta taka kujua so long as anakutimizia mahitaji yako yote, Utapinga kabisa na akithubutu unafunga vyako na kurudi kwenu)

Hapo ndo ishu inapokuja... sina huo mpango.... si unajua "what comes around....", sitaki shida
 
Mi mbona nilisema tangu mwanzo Bishanga, au hukuona



Dt bahati mbaya na multitask.... Namalizia and will b bak after an hour... Hopefully you will be here for u ar the only reliable


@ Bishanga... Please jibu post zangu acha kukwepa...
 
poleni sana wamama wote hii haipingiki kabisa, ndio maana kina sie tunamalizia ujana tukiingia huko ni kupambana nayo ambayo tumeyafanya sana tu mtaani, yaani utakuta kimme cha mtu kipoooole lakini nacho chakutongoza, unafanyaje sasa maana kama hivi huwa vinatunza balaa, kamwe siwezi kubali kuwa nyumba ndogo, ajue mie pia nahitaji kuwa na mwenza badae

Cha muhimu kwa wanawake wenzangu ni kuwaombea tu waume zenu wasipate mabalaa, maana hakuna wanaoweza kuikwepa hii, maaskofu na wachungaji wanaanguka kwenye hii dhambi itakuwa wao? hii ni vita tena vita ya tatu ya dunia, na nyumba ndogo wamepamba moto balaa...sooon wataanzisha chama kutambulika kama kile cha mashoga
 
wee una ubavu wa kumwacha mwanaume? hasa kama mmezaa?




Khaaaaa!!! I LOVE Bishanga neva blindly.... Mume wangu wa kwanza ni mimi niliamua sitaki tena (na nilkua nampenda) kwa ajiki ya infidelity thou zooote zilikua 'hit and run'.... Kwa taarifa yako nipo ndoa ya pili... Na akiniketea upuzi siwez vumilia.... I love having someone reliable... I love being married BUT i LOVE my self more... (hata hivo) wil b bak...
 
Khaaaaa!!! I LOVE Bishanga neva blindly.... Mume wangu wa kwanza ni mimi niliamua sitaki tena (na nilkua nampenda) kwa ajiki ya infidelity thou zooote zilikua 'hit and run'.... Kwa taarifa yako nipo ndoa ya pili... Na akiniketea upuzi siwez vumilia.... I love having someone reliable... I love being married BUT i LOVE my self more... (hata hivo) wil b bak...
uko juu kama mpapai, ndoa mbili bibie??? ila pia una moyo mgumu coz mie nahisi ikinishinda huko mbele nikiachana nae baaaasi narudia ukapera wangu
 
RAM unaweza kukuta hao wawili hawamiliki hizo nyumba ndogo lakini machangudoa na ma-bar maids wote wanajua alivyo... bandika bandua

Hapo umenena...hasa bar maids... Yaani ndo maana minasema ni suala la pasupasu tu, hawa wanaume hawashikiki jamani hata umbane vipi, hata umchunge vipi akiamua kucheat atakucheat tu. Mi sesemi haya kama nadharia tu nina mifano hai kabisa, niliwahi kufanya kazi ofisi moja hivi katika y department yetu mwanamke nilikuwa peke yangu na wanaume walikuwa tisa, niliyokuwa nayaona niliapa kwamba sitaolewa lkn muda ulipofika ilibidi niolewe lakini nilikuwa tayari najua kabisa tabia za wanaume zikoje, kwahiyo nilipoingia kwenye ndoa nilijua kabisa siajakutana na malaika, nilijua nimekutana na mwanaume kama wale wanaume ninaofanya nao kazi. Haya mambo yapo wala tusikatae kikubwa ni kumuombea tu huyo mume asisahau kutunza familia basi...
 
Khaaaaa!!! I LOVE Bishanga neva blindly.... Mume wangu wa kwanza ni mimi niliamua sitaki tena (na nilkua nampenda) kwa ajiki ya infidelity thou zooote zilikua 'hit and run'.... Kwa taarifa yako nipo ndoa ya pili... Na akiniketea upuzi siwez vumilia.... I love having someone reliable... I love being married BUT i LOVE my self more... (hata hivo) wil b bak...
Huyu wa sasa ni mwaminifu.......... I believe in Kaizer!
 
uko juu kama mpapai, ndoa mbili bibie??? ila pia una moyo mgumu coz mie nahisi ikinishinda huko mbele nikiachana nae baaaasi narudia ukapera wangu

Unashangaa ndoa mbili.......
 
haya mambo hayana utabiri russian.... cha muhimu wala sio kubishana nao, hakikisha unaboresha kwako yasikukute haya, na kama hujayajua kwako wala huna haja ya kuyachokonoa sababu tu wamesema, nawatakia kila la heri wanandoa wote jamani muishi kwa upendo na wenzenu
 
kuna born fighters na born followers. I am of the first nature. Naamini the change starts somewhere na kwa vile kuna watu wengi hawaipendi hiyo tabia nimeona na sisi tutoe mtazamo wetu baada ya the boss kutoa mtazamo wao.
hapa dada yangu si kutumia nguvu za kimwili kama unavyodhania kila siku muombe MUNGU ili hili la nuymba ndogo lisikukute binafsi biblia inasema mke mmoja na mme mmoja ila ugumu na tamaa wa mioyo yetu ndo inatufikisha kuwa na nyumba ndogo na kubwa: na pia wanawake wenyewe hamsimami katika zamu zenu majukumu ya kumhudumie mme ni ya mama na si ya house girl, pia beijing ikiishika sana wewe mama nyumba ndogo haiepukiki, cha msingi ni wewe mama kujua kuwa mme ni kichwa cha nyumba utakuta mama anataka awe naye kichwa au mnataka kuaply ile newton's law inayosema action and reaction are equal but opposite direction (hii ndo law ya beijing) mama ishi kwa kumsikiliza mme na akikosea mulize kwa upendo biblia inasema mwanamke ni jeshi kubwa sasa inategemea amebeba silaha ipi ya upendo ya ya ubomoaji. mama simama kwenye zamu yako nyumba ndogo utakuwa unaisikia tu
 
Ujumbe umefika B'.... Kwamba nisivunge kua nyumba ngodo... Nimechanganikiwa tu kwamba ina maana unashauri niachike ili tu niwe nyumba ndogo - alafu nikiwa divorcee do i qualify kuitwa nyumba ndogo?

lol temea mate chini Bi Asha,siwezi kumshauri mtu kitu kama hicho,all i am saying ni kwamba uhawara upo na kinamama mkubaliane na hali halisi.Tunza ndoa yako dear.
Ps: karibu lunch mihogo ya kuchoma na kipande cha kauzu.
 
Ukishaingia kwenye ndoa unasamehe tu mamii na maisha yanaendelea

Dear ukisha olewa give me this advice... maybe i will turn my ear and listen....

1st am not a Kid, (if that is what u meant)...

I need no advice to be a "perfect" nyumba ndogo, because I already am...
Nilisema mwanzo kuwa nilikuwa nachukua notes... was just collecting ammunitions which were being supplied here ili nikaboreshe zaidi

Na hapo kwenye underline, nafikiri ungewasaidia your fellow "married" women "to keep their men on the leash", wengine wanajisahau sana

Ni mtazamo wangu tu... no hard feelings...



Sorry for saying you are a kid (that is the idea i got from one of the post so i hope no hard feelings there)... That aside....

You are implying that i give advice on the wives on how to keep their men on the leash.... Well that is where you are mistaken.... Wives are of different nature... and not all of them give a damn whether the hubby has a nyumba ndogo or not.... I don't think there is any need of advice on keeping her Man on the leash... For if she was able to nail him (her not being the first woman the dude had ever slept with - that says something... that she has more than any woman the hubby had experienced) The thing kuhusu ndoa kwa mke ni simple tu! Mwanamke akiamua ndoa yake ivunjike at par.... INAVUNJIKA... Bila wasiwasi wala mkwaruzo.... Na akiamua isivunjike no matter what... The same applies... Sasa what do i tell such a woman about how to keep his man?? NOTHING!!!!

However nakuja kwako wewe ambae ndo nyumba ndogo.... (kwanza hongera saana for unaonekana mjanja and you know how to pick em' hivo kwako I believe life is good and almost perfect)... USHAURI ningependa zaidi uwe kwako... If you will allow me... for no need of it kama bado you feel bado upo fully equipped....
 
Najisikia kawaida tu... No regrets
Sina Mategemeo na mume wa mtu...
Hapo ndo ishu inapokuja... sina huo mpango.... si unajua "what comes around....", sitaki shida



Interesting.... Kwa majibu hayo hapo juu if you don't mind Darling tone... Can you weka range ya miaka yako??
 
Back
Top Bottom