Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Edson you have got to be kidding me or unabishana for the same of kubishana!!!


AshaDii...najaribu kupitia mabandiko yako humu naona kuwa una uchungu na nyumba ndogo..na sababu kubwa wakati nasoma post zako humu nimeona moja kuwa wewe ni mhanga wa hii kitu(nyumba ndogo) imekufanya ukaachana na bwana yako na mmezaa watoto wawili.....pia kuna mahali naona kuwa unasema ''you have been there'' ukimaanisha kuwa nyumba ndogo ni yule aliye btn 25 na 37 nje ya hapo hakuna...hii sio kweli dada yangu.....hata humu jamvoni kuna jamaa aliwahi kusema uwa yuko na mama wa 51 na yeye ana 38

kingine ninavyosoma post zako naona unajiamini sana lakini pia una hasira na nyumba ndogo ...sababu kubwa ni hiyo kuwa wewe ni mhanga....

ninachoweza kukwambia ni hiki my sisy...huyo shemeji mme wake wa pili huyo kama ulivyosema mahali ''Almost perfect'' bado nae anakucheti tu....maana yake you are not certain with what you are saying....na ukigundua utaachana nae maana wewe ni ni kama samaki siku zote mbele hakuna kurudi rivas.....

cha msingi juu ya swala hili ni kila mtu kujua kwa nini yuko hapo....kwa nini ana nyumba ndogo....hata wewe tafakari kwa nini mumeo wa kwanza alikuwa anatoka nje ya ndoa yenu?? pengine wewe ndo ulikuwa una makosa.....ilikuchukua mda gani hadi ukaoewa na huyo bwana wa pili? ......leo hapa unaweza kutwambia kwa herufi kubwa kuwa ulimwacha bwana yako kisa alikuwa ana HIT na ku-RUN lakini kumbe na wewe ndani ya nyumba ulikuwa na mapungufu yako.....

kama alivyokwambia bishanga.....usiwe na jazba....
 
Labda nikupe sababu za kwa nini wanaovumilia wanavumilia.... (Maybe youi will understnd....) Shukuru saana umezaliwa these times... shukuru pia kua you live in these times ambazo imerahisisha saana maisha ya wanawake thou tupo wachache katika hilo kundi. - ila nakusihi kwamba always feel for you fellow woman and try to understand her... itakusaidia kukujenga belive me....

Unafikiri woman always feels for their fellow women? Lets take for example, in office environment. Research in sychological science has "found that women formed a negative view of their peers much quicker than men did…"

In other words, women are so full of venom and jealousy they will give no quarter of relief to anyone who disagrees with them, especially other women. In other other words, if women were toasters bodies would be flying out hitting the ceiling all day long. 🙂

The researchers wrote: "Women may simply weight negative information more heavily than men do, because negative information disrupts the establishment of intimacy, which serves a more important function in same-sex relationships for women than for men." http://www.telegraph.co.uk/science/...t-of-each-other-than-men-are-study-finds.html
 
Hiyo ni typical tabia ya wezi.........yaani umekamatwa na kidhibiti bado unasema sio wewe!!! duuuuuh

Sasa hapa nani mwizi... Nyumba ndogo au mume?

Hivi kweli binadamu ambaye ana akili timamu, anajua majukumu yake, alienda kanisani kusaka cheti akasema "I Do", for better, for worse... leo anaweza kuibwa kweli?
 
"Never get angry. Never make a Threat. Reason with People"

Pole mamito,
hivi nyumba ndogo inaanzaje.... si inaanza kama infidelity??
Since umekubali kwamba infidelity haiepukiki, then ndo zinajenga nyumba zetu hizi

We as nyumba ndogo's we pledge our allegiance to you nyumba kubwaz na wajenzi wote

hehehe hapo red huo tunaita "muafaka".
enhee tuendeleeni na mjadala wajameni.
 
Unafikiri woman always feels for their fellow women? Lets take for example, in office environment. Research in sychological science has "found that women formed a negative view of their peers much quicker than men did…"

In other words, women are so full of venom and jealousy they will give no quarter of relief to anyone who disagrees with them, especially other women. In other other words, if women were toasters bodies would be flying out hitting the ceiling all day long. 🙂

The researchers wrote: "Women may simply weight negative information more heavily than men do, because negative information disrupts the establishment of intimacy, which serves a more important function in same-sex relationships for women than for men." http://www.telegraph.co.uk/science/...t-of-each-other-than-men-are-study-finds.html

Unaweza kuniambiaje kuhusu wanaume wanaotembea na wake za wenzao... Do they have feelings for their fellow men?

Tuna feelings sana ndo maana tunawasaidia kuboresha ndoa zao
 
humu ndani naona mnataka kuniuaaaa!!! I pledge mtu anae ni quote ahakikishe kua kanisoma vizuri for nimechoka kujirudia.. the good thing ni kwamba bado nipO siondokii....
 
Umri wa 20 - 25 ni wale wasichana wanaochipukia katika mambo ya mapenzi, hawa ndo utawakuta wanaitana GF na BF, nyumba ndogo ni umri mkubwa kidogo kama uliotajwa hapo juu, ujue mwanaume anakimbia stress kwa nyumba kubwa, kwenye small house nako aje akutane na stress, so lazima nyumba ndogo i1we na umri mkubwa kidogo kwasababu ni watu ambao wameshapita mishemishe kadhaaa za maisha wanachotaka ni goodtime tu. Eti nyumba ndogo mwanafunzi wa SAUT, UDSM n.k, hapo si bora ubaki na mkeo nyumbani

Tena hao ndio utakuta anatamani huyo mume amuache mkewe madai yake ndio atamfaidi vizuri, hawajui kwamba baada ya muda kibao kitamgeukia. Sie wengine nyumba ndogo zilishatufanza ndio maana tuna adabu kwa hao waume za watu tunakula kistaarabu tunajua madhara yake.
 
kloro ulikuwa wapi? Mpambano umenoga, sasa ni wao kwa wao Mkuu! Mi napiga chabo tu hapa. Raaaaaaha mustarehe.

Bishanga bye, tukutane kesho hapahapa, muda umeenda ngoja nikapike nisije nikasababisha stress
 
Back
Top Bottom