JF top 3-wabishi

JF top 3-wabishi

yaani ingekuwa chit chat ningeweza amini ila ni jokes...lakini da angel we ni noma aisee

This post rated five stars.
 
Thanx, subiria ya kufungia mwaka, ntaiweka 2nit hio nadhan utairate 10 stars. Ha ha haaaaaaa.....
 
kama anaona ccm inaongoza vizuri tu na hana shida na rais wake handsamu, naona atajiskia amepaishwa!
mtanzania anaedhani ccm bado inaongoza nchi vizuri hawezi kuwa sawasawa upstairs wala down in the basement!
Sijui Mwita akisoma hii atajisikiaje!
 
Huyo mwita noma. Hdi mkewe anazalishwa yeye bado mbishi.
 
kama anaona ccm inaongoza vizuri tu na hana shida na rais wake handsamu, naona atajiskia amepaishwa!
mtanzania anaedhani ccm bado inaongoza nchi vizuri hawezi kuwa sawasawa upstairs wala down in the basement!

nina maumivu makali ya tumbo lakini nimepata ahueni baada ya kusoma post yako
 
Mkali ni mimi. saa yangu inasema leo ni tarehe 28/12/2011. siirekebishi wala sitasherehekea mwaka mpya hadi itakapo soma 01/01/2012. Mia
Hahahahaa ila we utakuwa Kilaza......natania wewe sio km mwita
 
kama anaona ccm inaongoza vizuri tu na hana shida na rais wake handsamu, naona atajiskia amepaishwa!
mtanzania anaedhani ccm bado inaongoza nchi vizuri hawezi kuwa sawasawa upstairs wala down in the basement!
Jamani........., me nasoma tu hata sichangii hii
 
Dduuh miaka imekimbia alooo!!! Hivi hawa members wasioonekana tena wamebadili ID au vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom