Nani mkali kati ya hawa

Nani mkali kati ya hawa

nyamihela

Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
5
Reaction score
0
WA1;Sikumoja nilitaka kutoka out na mke wangu nikampigia cm akapokea hakusema halooo na mie nikauchuna hadi crediti zikaisha.
wa2;aah we cha mtoto tu mimim kuna day nilirudi home ucku nikagonga mlango mke wangu akanifungulia lkn hakusema karibu mmewangu nikasimama mlangoni hadi asubuhi kisha huyo nikaelekea job,
wa3;mimke wangu tulipo oana alikua anaona haya kunigusa na mimi ckumgusa mpakaleo hatugusani wa1 na wa2 wakadakia aaa acha usanii nyi cmna watoto wawili .aka wajibu hatami cjui hao watoto kawaokota wapi
 
wa pili dizain kama nimemkubali, unachuna mzeeya afu mornie unatinga job
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom