JF top 3-wabishi

JF top 3-wabishi

Angel Nylon

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
10,656
Reaction score
23,133
Hem wasikieni hawa wabishi:
Kongosho: siku 1 nlimpigia simu mume/mke wangu akapokea lkn hakusema halow na mi nkauchuna hadi credit zikaisha.
Excellent: wee cha mtt tu hio, mi kuna day 1 nlirudi home nit. Nkagonga mlango mke wangu akanifungulia lkn hakusema karibu mume wangu nkasimama
mlangoni mpk asubuhi then huyoo nkenda zangu job.
Mwita25: mi tulivooana na my wife wangu alikua anaona haya kunigusa na mi sijamgusa na mpk leo hatugusani. Wenzie wakadakia, 'Wacha usanii, nyinyi si mna wtt wawili lkn' akawajibu 'na hao watoto sijamuuliza kawaokota wapi!
Nani zaidi?
 
mwita ni ndo baba lao yaani amegoma kabisa kuuliza watoto wametoka wapi!!
 
Huyo wa tatu noma,mpaka mkewe anazalishwa ye mbishi bado.
 
Hawa wabishi watatu wanaweza kuwa ni wale mapacha watatu ninaowafahamu
 
Hem wasikieni hawa wabishi:
Kongosho: siku 1 nlimpigia simu mume/mke wangu akapokea lkn hakusema halow na mi nkauchuna hadi credit zikaisha.
Excellent: wee cha mtt tu hio, mi kuna day 1 nlirudi home nit. Nkagonga mlango mke wangu akanifungulia lkn hakusema karibu mume wangu nkasimama
mlangoni mpk asubuhi then huyoo nkenda zangu job.
Mwita25: mi tulivooana na my wife wangu alikua anaona haya kunigusa na mi sijamgusa na mpk leo hatugusani. Wenzie wakadakia, 'Wacha usanii, nyinyi si mna wtt wawili lkn' akawajibu 'na hao watoto sijamuuliza kawaokota wapi!
Nani zaidi?
mwita 25 ni sooooooooooo khaa!
 
mi mwenyewe nimekubal mwita ni mkal wenzie hawaoni ndani wote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom