JF Tanga Wing wakutana

Hahah, lazma uwe mtumishi wa umma wewe! Ziara ya mafunzo tena? Fanyeni kikao kwa skype bwana, kha!
Manake kununua tu ct scanner moja shurti watu tisa wazunguke nusu dunia kwa ziara ya mafunzo! Tanzania oyeee!
Ahsante kwa taarifa mkuu, hao viongozi wanapaswa kuja Arusha kwa ziara ya mafunzo. cc PakaJimmy.
 
Last edited by a moderator:
Mwanyasi asante sana,
hivi Arushaone aliamua kubaki hapo hapo kwa waja leo warudi leo.

 
Last edited by a moderator:

Hongereni sana Tanga Wing........... nawatakia kila la heri mfuate nyayo za JF Arusha HQ.

CC. Mwanyasi , Dark City , KOKUTONA , Arabela YNNAH na wengineo.

 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…