Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Hebu wewe mwenyewe Blaki Womani , aka Mkemia Mkuu[sosi Preta]tafuta eneo muafaka utujuze.
Nakala
Filipo Lily Flower Arushaone Mungi Preta @ Mzee wa Rula marejesho
Unakumbuka ulivyoifanyia ukemia ile bili ya supu pale Nyinda?hahahahaha a.k.a mkemia mkuu umenichekesha sana..........itifaki kuzingati
Unakumbuka ulivyoifanyia ukemia ile bili ya supu pale Nyinda?
Unakumbuka ulivyoifanyia ukemia ile bili ya supu pale Nyinda?
Tarehe 5.February? hiyo c ni ckukuu ya mavuvuzela? Achana nayo, haituhusu.Tanzanite Party ni siku gani kuna sikukuu sijui lini hapo kati
Kumbe mwenyewe alianzia na chapati, katuchapa nao wee! Kaona haitoshi, kaja kwenye mazaga mengine.akasngiziwa kalkuleta
Tarehe 5.February? hiyo c ni ckukuu ya mavuvuzela? Achana nayo, haituhusu.
Achana nae mpendwa wangu! Nimeamua sintajibu ujin.ga wake kabisa! Akikua ataacha! Hujambo bibie!?
Ahsante sana mkuu.
Achana nae mpendwa wangu! Nimeamua sintajibu ujin.ga wake kabisa! Akikua ataacha! Hujambo bibie!?