Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Na wewe utatujibu kwanini tokea cku ile umemficha Werawera.
Tuna hamu kumnanihiii, i mean kumuona.
Hapo umeuliza jibu mwite Arushaone aje aseme neno nawe roho yako itulie.
Siyo huyo tu, ma-anonymous wengine waletwe na Mungi.
[Lily Flower asisome hapo]
Mie nahisi maana sio kawaida yake.
Siyo huyo tu, ma-anonymous wengine waletwe na Mungi.
[Lily Flower asisome hapo]
Tanzanite party utakuwepo ndio siku ya msuto
Kuna msuto tena!Tanzanite party utakuwepo ndio siku ya msuto
me love you.......nacheza namba ya ukuwadi chezeya zawadi wewe
Cna nia mbaya miye. Nataka upendo wetu wana-Wing uendelee kama kule Tanga.
Kuna msuto tena!
Msiharibu party bana.
Yap yap yap ila umemtaja werawera tu mbona hujamtaja Preta, marejesho, Blaki Womani and co.
Kuna msuto tena!
Msiharibu party bana.
Hebu wewe mwenyewe Blaki Womani , aka Mkemia Mkuu[sosi Preta]tafuta eneo muafaka utujuze.Tanzanite party itafanyika wapi mchakato mapema