BelindaJacob
BelindaJacob
is proactive
JF Premium Member
Join Date: Mon Nov 2008
Location: BelindaJacob
Posts: 1,079
Thanks: 349
Thanked 409 Times in 273 Posts
Rep Power: 23
Re: Wakuu JF Mnachamba sana !!
Hebu nieleze maana ya Bellinda jacob is proactive -Inakuwepo kwa maana gani.
JF Premium Member inamaana gani.
Hiyo mistali ya langi mbili ina maana gani .
Rep Power ina maana gani .
Vile vidude vya kijani navyo vina maana gani ?
Natumai kuuliza si ujinga ?
Unajua kuna watu hapa wanatuzalau kwa kuwa hivyo vitu havijatimia kwetu sisi walala hoi sasa naona kila siku navyo vinazidi kama unavyozidi ufisadi.Yaani ni kama kuna mtu hana la kufanya na inakuwa kuchokonoa chokonoa tu mwisho atakuja kuhalibu kila kitu ,ndio maana yake ,ila nieleze maana hizo ambazo nimezidai kwani naludia tena kuuliza si ujinga ?